Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Picha ya mwizi au ya TV[emoji23]Bila picha ni Uzushi na attention
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya mwizi au ya TV[emoji23]Bila picha ni Uzushi na attention
Yana shida gani na yapi mazuri?Bila shaka dirisha lenyewe ni haya ya flat bars.
Yupp Mbeya Songwe njia ya kwenda Mkwajuni sehemu panaitwa Mbala. Yule ni balaa jingine. ILA amejificha sana anaishi porini. Ni bibi alozeeka haswa.Usijisimbue hakuna mganga mwenye uwezo huo kwasasa, utazidi kupoteza
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Jana wameiba huyu jamaa hapa Chake chake PembaVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
PalipovunjwaPicha ya mwizi au ya TV[emoji23]
Hapo sawa kabisaPalipovunjwa
[emoji3][emoji3][emoji3]dahAcha ujinga pigana ununue chogo inch 8 mganga atakula hela yako bure na ukicheza atakupiga ukuni.
Mtoa mada attention sanaHapo sawa kabisa
KawafungueHakika hakuna mtu anazaliwa na roho mbaya, me binafsi baada ya kuhitimu chuo niliweza kusave kiasi fulani cha fedha za boom na nikaenda mkoani nikaanzisha ufugaji wa nguruwe.
Usiku wa siku moja wezi walivunja banda na kuiba mifugo yangu michache nilokuwa nayo na kisha wakachinjia pembeni kidogo ya banda na kusepa na nyama yaani asubuhi bi mkubwa alikuta damu tu ( me sikuwepo nilikuwa dar), nilipopata taarifa za tukio kesho yake nilianza safari toka dar hadi KIGOMA,,,,niliwakomesha mpaka sasa nawaonea huruma mana walikuwa ni wahuni wa mtaani kwetu.
Pole sana mkuu.
Yaani ulishindwa kutoa 150,000 au 200,000 kufunga GPS tracker saiv unawaza kwenda kwa mganga kutapeliwa.Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Mnigeria wako ni mzembe unaibiwaje wakati upo na mnegeria na ulisema ana vitu special?!!!!!!!!!!!
Naona tv nyingine inajisogeza yenyeweThink twice babe while crossing the road,honey!
Flat bar sio dirisha weka milimita 16,Mimi huwa wanakuja wanaichungulia wanakutana na milimita 16 wanaondoka wanasonya tu.labda waje na gasBila shaka dirisha lenyewe ni haya ya flat bars.
Mwaka 2007 nilisafishwa na vibaka, walichoshindwa kubeba ni tv tuu Sony Wega yale makubwa mazito.. Basi nikashauriwa niende kusoma albadir ama niende kwa mganga(wakari huo sijaanza harakati za ulozi bado)Mtoa mada attention sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Flat bar sio dirisha weka milimita 16,Mimi huwa wanakuja wanaichungulia wanakutana na milimita 16 wanaondoka wanasonya tu.labda waje na gas