ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wanaiba wewe hawakukuona ?Vibaka wameniibia smart TV size ya 48
PigaNipige hela ya jamaa au niache? Najiuliza!
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara
Aliyekuibia TV atakutafuta akijifanya mganga, halafu akuibie mara ya pili.Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Au niende kumsumbua ?unadhani atakuambia[emoji2]Uache msumbua pm pia
Fuga mbwa usiku wakifika mbwa anabweka.Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Hahaha pole sana yeye alishaibiwa hata kabla hujanunua hiyo smart TVNdio atasema niachie amebaki yeye tu jaman
Ngoja aje atoe maelezoHahaha pole sana yeye alishaibiwa hata kabla hujanunua hiyo smart TV
Sent using Jamii Forums mobile app
Haukubakwa?Unalala kama marehemu!
yamkini walipuliza dawa...Haukubakwa?Unalala kama marehemu!
Moisemusajiografii naomba jibuHahaha pole sana yeye alishaibiwa hata kabla hujanunua hiyo smart TV
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 we dada Una dhambi sanaUnajua wadada wanashida sana , Tena wanaoishi wenyewe, wanapenda majigambo na Tena ikute alikuwa anaisifia tv yake Kwa mashoga zake marafiki wakiume majirani zake hata ndugu zake so wakaweka kamtego kakusuka kazuri, huyo alikuwa anapika , ameacha mlango wazi wakaiba vibaka pole pole
Nenda miskitini tu kakutane na sheikh amsomee Qur'an tukufuVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()