Vibaka sasa wamezidi

Vibaka sasa wamezidi

Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
emoji24.png
emoji24.png

Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.

Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.

Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara

Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
emoji24.png
emoji24.png

Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.

Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.

Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Aliyekuibia TV atakutafuta akijifanya mganga, halafu akuibie mara ya pili.
Achana na mambo ya uganga
 
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
emoji24.png
emoji24.png

Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.

Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.

Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Fuga mbwa usiku wakifika mbwa anabweka.
 
Ok kama ni amevunja madirisha akabeba na TV akasepa na wewe umelala tuu bila shaka ni dar... musoma huyo mwizi sijui nisemeje... any way jitahid kuwa makini kama wa mikoani siku nyingine watamalizana na mke wako watasepa harafu unaamka asubuh hujajua
 
Unajua wadada wanashida sana , Tena wanaoishi wenyewe, wanapenda majigambo na Tena ikute alikuwa anaisifia tv yake Kwa mashoga zake marafiki wakiume majirani zake hata ndugu zake so wakaweka kamtego kakusuka kazuri, huyo alikuwa anapika , ameacha mlango wazi wakaiba vibaka pole pole
😂😂 we dada Una dhambi sana
 
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
emoji24.png
emoji24.png

Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.

Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.

Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Nenda miskitini tu kakutane na sheikh amsomee Qur'an tukufu
 
Back
Top Bottom