Vibaka wa Kahama wanaiba Mchana na Usiku huku wakiwa Uchi ( Watupu ) wa Mnyama kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe.

Chanzo: itvtz

Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba Mikoa ya Pwani kwani wanaweza Kuondoka bila ya Marinda!!!
 
Kwakweli Serikali ilitazame hili swala, Vibaka huku wanaiba katika mazingira magumu mno, wengi hawana vitendea kazi, wanaiba usiku tena wakiwa hawana viatu vya kuwawezesha kukimbia wengine bila nguo na baridi ya usiku imekuwa changamoto mno.Tunaomba serikali iwatazame na kuwawezesha
 
Mawazo ya kujenga 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila we jamaa!
 
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mkuu; Eti unaishauri Serikali ifanyeje ili kuwawezesha na kuwaboreshea vibaka hao mazingira rafiki ya utekelezaji wa kazi yao hiyo?
### KAMWE Hakuna Serikali yoyote duniani itakayofanya ulichoshauri. Au ww ni miongoni mwao? Kazi yao sio kazi HALALI na akikamatwa; ama raia wenye hasira kali watammaliza kwa moto hapo-hapo, watamjeruhi na kumpa kilema cha maisha au atafungwa jela.
 
Attachments

  • Screenshot_20240722-050943.jpg
    Screenshot_20240722-050943.jpg
    479.4 KB · Views: 5
Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe.

Chanzo: itvtz

Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba Mikoa ya Pwani kwani wanaweza Kuondoka bila ya Marinda!!!
Sasa nani atatamani rinda la BICHWA KOMWE - ?
 
Mkuu; Eti unaishauri Serikali ifanyeje ili kuwawezesha na kuwaboreshea vibaka hao mazingira rafiki ya utekelezaji wa kazi yao hiyo?
### KAMWE Hakuna Serikali yoyote duniani itakayofanya ulichoshauri. Au ww ni miongoni mwao? Kazi yao sio kazi HALALI na akikamatwa; ama raia wenye hasira kali watammaliza kwa moto hapo-hapo, watamjeruhi na kumpa kilema cha maisha au atafungwa jela.
Serikali pia itazame swala la adhabu pale vijana hao wanapokamatwa wanapokuwa katika majukumu yao kwa adhabu na faini zimekuwa si rafiki na zinawarudisha nyuma mno katika shughuli zao.

NB: Ni UTANI tu mkuu! Wizi ni uhalifu
 
Back
Top Bottom