GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mawazo ya kujenga 🤣🤣🤣Kwakweli Serikali ilitazame hili swala, Vibaka huku wanaiba katika mazingira magumu mno, wengi hawana vitendea kazi, wanaiba usiku tena wakiwa hawana viatu vya kuwawezesha kukimbia wengine bila nguo na baridi ya usiku imekuwa changamoto mno.Tunaomba serikali iwatazame na kuwawezesha
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila we jamaa!Kwakweli Serikali ilitazame hili swala, Vibaka huku wanaiba katika mazingira magumu mno, wengi hawana vitendea kazi, wanaiba usiku tena wakiwa hawana viatu vya kuwawezesha kukimbia wengine bila nguo na baridi ya usiku imekuwa changamoto mno.Tunaomba serikali iwatazame na kuwawezesha
Mkuu unataka kutukanwa?wewe pimbi una habari za kiwaki.
nipo Buhigwe, ntakutafuta nikupige mbata.
Mkuu unataka kutukanwa?
Kwakweli Serikali ilitazame hili swala, Vibaka huku wanaiba katika mazingira magumu mno, wengi hawana vitendea kazi, wanaiba usiku tena wakiwa hawana viatu vya kuwawezesha kukimbia wengine bila nguo na baridi ya usiku imekuwa changamoto mno.Tunaomba serikali iwatazame na kuwawezesha
Mkuu; Eti unaishauri Serikali ifanyeje ili kuwawezesha na kuwaboreshea vibaka hao mazingira rafiki ya utekelezaji wa kazi yao hiyo?Kwakweli Serikali ilitazame hili swala, Vibaka huku wanaiba katika mazingira magumu mno, wengi hawana vitendea kazi, wanaiba usiku tena wakiwa hawana viatu vya kuwawezesha kukimbia wengine bila nguo na baridi ya usiku imekuwa changamoto mno.Tunaomba serikali iwatazame na kuwawezesha
wewe pimbi una habari za kiwaki.
nipo Buhigwe, ntakutafuta nikupige mbata.
Sasa nani atatamani rinda la BICHWA KOMWE - ?Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe.
Chanzo: itvtz
Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba Mikoa ya Pwani kwani wanaweza Kuondoka bila ya Marinda!!!
Serikali pia itazame swala la adhabu pale vijana hao wanapokamatwa wanapokuwa katika majukumu yao kwa adhabu na faini zimekuwa si rafiki na zinawarudisha nyuma mno katika shughuli zao.Mkuu; Eti unaishauri Serikali ifanyeje ili kuwawezesha na kuwaboreshea vibaka hao mazingira rafiki ya utekelezaji wa kazi yao hiyo?
### KAMWE Hakuna Serikali yoyote duniani itakayofanya ulichoshauri. Au ww ni miongoni mwao? Kazi yao sio kazi HALALI na akikamatwa; ama raia wenye hasira kali watammaliza kwa moto hapo-hapo, watamjeruhi na kumpa kilema cha maisha au atafungwa jela.