Vibaka wamenitia hasara

Wakuu usiku wa kuamkia Leo vibaka wamevunja kioo cha gari wakaiba taa moja ya nyuma, power-window na side mirror zote mbili, aina ya Gari ni Kluger V, kwa spare used naweza kupata kwa bei gani @?

View attachment 2179029
Pole sana mkuu. Hukuwa na alarm? Walau inasaidia
Anyway watakujibu. Mcheki masterofthegame yumo humu jf
 
Pole mkuu...
Ukikuta mwizi anapigwa, haina haja ya kumuonea huruma...
Pita swhwmu wanazokata magari na kuuza spea utapata
 
Wakuu usiku wa kuamkia Leo vibaka wamevunja kioo cha gari wakaiba taa moja ya nyuma, power-window na side mirror zote mbili, aina ya Gari ni Kluger V, kwa spare used naweza kupata kwa bei gani @?

View attachment 2179029
Agiza mtandaoni, achana na used za Bongo.

Mimi wakiiba uwa naagiza mitandaoni napata ili waache kuiba sababu wanategemea mnunuzi nitakuwa mimi waliyeniibia.
 
Agiza mtandaoni, achana na used za Bongo.

Mimi wakiiba uwa naagiza mitandaoni napata ili waache kuiba sababu wanategemea mnunuzi nitakuwa mimi waliyeniibia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…