DOKEZO Vibaka wanaotumia boda wanakata watu mapanga Mchana kweupe maeneo ya Kimara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii usiombe ikukute, ilimkuta family friend wetu mmoja aisee hawa jamaa ni wanyama sana
Wanyama mno, huyu dada wa huku kwetu taya lilining'inia kabisa nusu lidondoke
 
Niwapongeze kwa hatua mliyochukua lakini kuita serikali iwafanyie ulinzi si wazo jema Wazo jema NI PANGA KWA PANGA WEKENI MTEGO KAMA MIKOANI watakuwa na HESHIMA na ikitokea mmeshika apelekwe kuzimu haraka
Kabisa mkuu, ni kushughulika nao tu
 
Kabisa mkuu, ukimpata mshughulikie bila huruma
 
hata huku kinondoni week mbili zilizopita walifunga mtaa njiani kila waliyekuatana naye walisema naye...mpaka sungu sungu walipigwa ambush...serikali ifanye haraka hili lishakuwa gonjwa sasa,miaka miwili nyuma huku kinondoni kila mda difender za polisi zilikuwa zinafanya dolia na wizi ukakoma ...sasa zile dolia hakuna...
 
Leo ni mara yako ya kwanza kucomment. Wewe ni kuposti tu.
 
Ulinzi shirikishi hakuna huko? Vijana hawana ajira wamezagaa tu mtaani unategemea nini km sio kuanza kuwakaba watu? Serikali yenu ya Viziwi haiwasikii hapo jambo ni kukusanya vijana hao na kuwatafutia kitu cha kufanya kinyume na hapo mtaendelea kupasuliwa kila siku maana hao wanaofanya hivyo hawatoki mbali
 
ueni tu mkuu,,,washenzi sana hawa,yaani unmjeruhi m2 kisi icho alaf unachukua smu na pochi,na wawe kuta kwnye sumu hawa madada wana nauli tu ya kuwafikisha kazini
 
Hebu angalia matukio kama hayo harafu polisi wanapoamua kufanya kazi humu humu kelele zinaanza wasiojulikana wanawateka watu,, chomboni cha usalama hakifanyi kazi ngumu kwakutambulika kwa haraka ndani ya jamii ili kukamilisha majukumu, ukiona mtu mpaka anakamatwa mahali popote pale ujue hatua za kiuchunguzi zimefanyika kwa kina! Mim nikupongeze Sana kwa taarifa hii imetoa funzo, yule boda aliyekamatwa kibaha watu waliongea mengi Sana,, Malipo ni hapa hapa
 
Wakikamatwa mnalaumu polisi kuwa wanawateka huku mkidai polisi waje na kibali cha mwenyekiti wa mtaa. Hao vibaka huwa wanajulisha serikali ya mtaa?
Nlitaka niseme hivyo hivyo
Polisi wakitumia nguvu watu wanaanza kulialiaa ....
ila kwa dar naona mafwele kakaimu u RPC 😄 kwa sasa

ova
 
Watu wanataka vibaka hao wakamatwe kwa kubembelezwa

Ova
 
Boda boda huingia tamaa ya kujihusisha na wizi kutoka na kipato kidogo ambacho hupata pia huchangiwa na makundi yao kwa wengi wao ni vijana na wengi wao hutumia vilevi tofauti tofauti
 
Nchi Iko kwenye fiesta, Taifa linasheherekea hata sijui linasheherekea nini.
Vyombo vya usalama viko busy kulinda matamasha na shamrashamra hazijulikani ni za nini.

Wananchi muanze kujilinda wenyewe kwa mapanga na bunduki maana Kodi zenu sasa zinaliwa na kina Mwijaku, Mommy dimpoz, Doto magari na wasanii Kwa ujumla.
 
Police wa TZ ni kwakushughulikia vyama pinzani tu ns si vinginevyo, anzisheni doria maalumu shirikisheni wenyeviti wa mtaa ueni kimya kimya,, narudia waueni.
 
Wanaokamatwa wachunguzwe kujua mzizi wao, kisha kuuwawa kama miaka ile ya TZR sisi wengine tutawaua mitaani kabla polisi hawajafika eneo la tukio kwani polisi wana kazi ngumu
 
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
    649 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…