Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, ni kushughulika nao tuNiwapongeze kwa hatua mliyochukua lakini kuita serikali iwafanyie ulinzi si wazo jema Wazo jema NI PANGA KWA PANGA WEKENI MTEGO KAMA MIKOANI watakuwa na HESHIMA na ikitokea mmeshika apelekwe kuzimu haraka
Kabisa mkuu, ukimpata mshughulikie bila hurumaBinafsi juzi kati hapa Kuna vibaka watatu wamewakaba wadogo zangu wawili(wa kike) wakawapiga,wakawapora pesa za mauzo yote ya dukani na simu ya mkononi( smart phone). ktk hao vibaka mmoja walimtambua/ tumemtambua maana muda mwingi alikuwa akionekana pale mtaani kwetu.
Sasa baada ya hilo tukio kibaka huyo ametoweka mtaani na haonekani tena, namtafuta !! Nikimnasa!! Na nitamnasa tu!! Atawataja wenzie wote aliokuwa nao! Sina haraka nae Wacha akimbie kimbie tu
Leo ni mara yako ya kwanza kucomment. Wewe ni kuposti tu.Aiseee hii Kitu hadi Goba pia imeanza kujitokeza hasa Alfajiri. Wale wanaotoka Majumbani Asubuhi sana bado kagiza kanachungulia ndio wanaipata fresh. Juzi amenusurika Mtu ambaye namfahamu kabisaaa na jana yake mwingine naye alikuwa amepigwa panga maeneo hayohayo ya barabara ya Mtaa ya kuelekea Shule ya Living Minds
Ulinzi shirikishi hakuna huko? Vijana hawana ajira wamezagaa tu mtaani unategemea nini km sio kuanza kuwakaba watu? Serikali yenu ya Viziwi haiwasikii hapo jambo ni kukusanya vijana hao na kuwatafutia kitu cha kufanya kinyume na hapo mtaendelea kupasuliwa kila siku maana hao wanaofanya hivyo hawatoki mbaliAiseee hii Kitu hadi Goba pia imeanza kujitokeza hasa Alfajiri. Wale wanaotoka Majumbani Asubuhi sana bado kagiza kanachungulia ndio wanaipata fresh. Juzi amenusurika Mtu ambaye namfahamu kabisaaa na jana yake mwingine naye alikuwa amepigwa panga maeneo hayohayo ya barabara ya Mtaa ya kuelekea Shule ya Living Minds
ueni tu mkuu,,,washenzi sana hawa,yaani unmjeruhi m2 kisi icho alaf unachukua smu na pochi,na wawe kuta kwnye sumu hawa madada wana nauli tu ya kuwafikisha kaziniMatukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
Nlitaka niseme hivyo hivyoWakikamatwa mnalaumu polisi kuwa wanawateka huku mkidai polisi waje na kibali cha mwenyekiti wa mtaa. Hao vibaka huwa wanajulisha serikali ya mtaa?
Watu wanataka vibaka hao wakamatwe kwa kubembelezwaHebu angalia matukio kama hayo harafu polisi wanapoamua kufanya kazi humu humu kelele zinaanza wasiojulikana wanawateka watu,, chomboni cha usalama hakifanyi kazi ngumu kwakutambulika kwa haraka ndani ya jamii ili kukamilisha majukumu, ukiona mtu mpaka anakamatwa mahali popote pale ujue hatua za kiuchunguzi zimefanyika kwa kina! Mim nikupongeze Sana kwa taarifa hii imetoa funzo, yule boda aliyekamatwa kibaha watu waliongea mengi Sana,, Malipo ni hapa hapa
Wengi wao wamejichoka ,wapi katika breaking point.Hii usiombe ikukute, ilimkuta family friend wetu mmoja aisee hawa jamaa ni wanyama sana
Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya.
Ndani ya mwezi mmoja kuna watu wawili wamekatwa mapanga na vibaka wanaotumia bodaboda. Matukio haya yote yanahusisha wasichana, ambapo mmoja ilikuwa ni saa 12 jioni anatoka kazini kurudi nyumbani na tukio lingine limetokea wiki iliyopita saa 1 asubuhi mdada mwingine akiwa anaenda kazini.
Kinachofanyika kinasikitisha sana. Vijana hawa huja na boda wakiwa wamepakiana, na mara nyingi huendesha kwa kasi huku wakimpita mhusika kwenda mbele kukagua kama kuna watu, wakiona hakuna watu hurudi kwa kasi tena na kutoa panga kisha huanza kukata sehemu yoyote wayaoona inafaa.
Kwa visa hivi viwili, mmoja alikatwa taya nusu lidondoke na mwingine kakatwa mkono. Na baada ya kufanya hivi hubeba simu/mkoba wake na kutokomea nao kusikojulikana.
Kwenye tukio la wiki iliyopa, baada ya kukata mkono wa huyo dada waliendesha boda yao ya kasi sana kuelekea Maeneo ya Kimara Bucha huku wakifukuzwa na watu lakini bahati mbaya kutokana na ujenzi wa barabara unaoendeelea litokea gari katikati likaziba njia wakawa wamenusurika vinginevyo wangeuawa. Kumbuka, hii ilikuwa ni saa 1 asubuhi.
Kwasasa wananchi tumeanza kujilinda, tunaomba mamlaka za ulinzi zifike eneo hili kuimarisha ulinzi. Vinginevyo mkisikia tumeua hawa vibaka msije kutusumbua.
========================
MKUU WA WILAYA ATOA NENO
JamiiForums imewasiliana na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange kuhusu hoja hiyo amesema “Hilo suala kwangu ni jipya, ndio nalisikia lakini kwa kuwa aliyezungumza ni Mwananchi na sisi Viongozi tupo kwa ajili ya Wananchi, basi saa mbili kutoka sasa, mimi pamoja na Viongozi wa Jeshi la Polisi Ubungo tutaelekea hapo.”
Ameongeza “Tutaenda kuonana na Serikali za Mtaa kisha tutazungumza na Wananchi tusikie maoni yao kujua kinachoendelea, hiyo itatusaidia kujua tunachukua hatua zipi za kuchukua.”