Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea.

Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa ukitoa muhuri na ten percent ya kuuza au kununua
 
Mimi kama kiwanja kimepimwa tayari, huwa naendelea na mambo yangu tutamalizana wakija kuweka alama!
 
Back
Top Bottom