ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea.
Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa ukitoa muhuri na ten percent ya kuuza au kununua
Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa ukitoa muhuri na ten percent ya kuuza au kununua