Vibamia association of Tanzania (VAT) - Mkutano mkuu

Vibamia association of Tanzania (VAT) - Mkutano mkuu

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ndugu Wanachama tunawatangazia tutakuwa na Mkutano Mkuu wa chama, VAT tarehe 13/02/2021, Jumamosi
AGENDA: Hesabu za mapato na Matumizi ndani ya chama
Kupokea Wanachama Wapya
Uchaguzi wa Viongozi
AOB:Changamoto hasa dharau toka wenza/wapenzi wetu na namna ya kukabiliana nazo.
MAHALI: KONA BAR (SINZA AFRICA SANA) kuanzia saa 11 jioni
MAWASILIANO: 0654 436286 (Mratibu - Ms. Neema)
AOB: Ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja (VAT).
 
Mashimo Makubwa/Mabwawa Association (MMA) watakuwa na mkutano wa Robo Mwaka. Agenda: Dawa imepatikana ya kubana shimo ili kuwaridhisha wenza wao. Jisajiri sasa
 
mi sipendagi ugali na bamia.labda mlenda wa unga uliochanganywa na maharage hata mke wangu anapendaga hvyohvyo.kwanza kwanin mkauze bamia bar si muende sokoni 2
 
Ndugu Wanachama tunawatangazia tutakuwa na Mkutano Mkuu wa chama, VAT tarehe 19/12/2015
AGENDA: Hesabu za mapato na Matumizi ndani ya chama
Kupokea Wanachama Wapya
Uchaguzi wa Viongozi
AOB:Changamoto hasa dharau toka wenza/wapenzi wetu na namna ya kukabiliana nazo
MAHALI: KONA BAR (SINZA AFRICA SANA) kuanzia saa 11 jioni
MAWASILIANO: 0655 112236

mbona nimepiga hiyo namba nimeambiwa ni wrong namba?mwenye hiyo namba anasema hata haijui hiyo vat
 
Naombeni tenda ya kuwasaplaia dawa za kukuza

Uje pia na dawa ya kubana shimo na kupunguza maji kwenye bwawa

Mbona povu kama umelamba sabuni ya kusafishia toi? Kuna shida kwani? Nenda kwenye kikao bana Punguza hasira

punguza hasira bana ndo ushakua kibamia ila usijali kuna dawa ntakutumia ahahahaaa

Wote wameumia kulingana na nafasi zao.. Poleni wajameni😀
 
Back
Top Bottom