GE2025 Vibanda umiza vya Tarime vyajaa, kufuatilia Kesi ya Tundu Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Tarime mkoani Mara, limeshuhudia kundi la Wananchi mbalimbali wakiwa ndani ya Banda maarufu la "Juma Kahawa" linalopatikana Kata ya Bomani mtaa wa National Housing wilayani Tarime wakifuatilia mubashara kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inayoendelea kusikilizwa muda huu katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam.

Your browser is not able to display this video.






​
 
Nchi nzima inafuatilia hii kesi
 

Attachments

  • FB_IMG_1752574790773.jpg
    84.1 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1752574781854.jpg
    62.7 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1752574790773.jpg
    84.1 KB · Views: 30
  • FB_IMG_1752574781854.jpg
    62.7 KB · Views: 34
Wananchi tule shule, na tuamke kupigania haki na ukombozi.

Hiii nchi bado ipo utumwani manina.
 
Uko tarime ndio vtu wanapenda kujadili vya msingi,uwezi kuta wapo vijiweni wakijadili Simba na yanga kiukweli ,,c vijana c wazee hata ukiendaa baadhi ya vijiwe vya stend za magari wanajidiligi siasa tu...na Yale mabango ya mama anaupigaa mwingi yalioanzia Dodoma kule kwao c mengi km yalivyojaa ,Dodoma,singida,tabora mpk simiyu...
 
kusema ukweli binafsi(free to express my thought) NAJUTA KUZALIWA HII NCHI
 
Changamoto ya ajira ni kubwa sana

Serikali Bado ina kazi kubwa
 
Leo lazima ashinde na Pampenga


No reform No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…