Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kama siku ya DerbyWakuu!
Tarime mkoani Mara, limeshuhudia kundi la Wananchi mbalimbali wakiwa ndani ya Banda maarufu la "Juma Kahawa" linalopatikana Kata ya Bomani mtaa wa National Housing wilayani Tarime wakifuatilia mubashara kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inayoendelea kusikilizwa muda huu katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam.