KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nimefurahi jana nimepita pale Lugalo nikakuta alama za LUGALO BARRACKS getini vimeboreshwa. Hongera Kwa aliyefanikisha hili, sasa bado zile bango kubwa nyeusi zilizoko moja bondeni karibu na daraja la waenda kwa miguu na lingine karibia Mwenge.