Vibao vya Lugalo barracks

Vibao vya Lugalo barracks

Hili nalo mkalitazame

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
kajaribu kupiga picha hilo bango uone.
....police state nhe, Zambia 🇿🇲 na Botswana 🇧🇼 pits stop usiku pembeni mwa main gate za makambi ya majeshi yao au kwenye check points zao, watanzania mmeshazoeshwa kuburuzwa
 
Nimefurahi jana nimepita pale Lugalo nikakuta alama za LUGALO BARRACKS getini vimeboreshwa. Hongera Kwa aliyefanikisha hili, sasa bado zile bango kubwa nyeusi zilizoko moja bondeni karibu na daraja la waenda kwa miguu na lingine karibia Mwenge.
Ungeweka na picha mkuu tuone namna vilivyoboreshwa.
 
Back
Top Bottom