Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

SAS unataka mtu Eti kupkia na kupanga unga kwnye lorry ulipwe laki nane Kweli yaani uje asbuhi ushike nyuzi na kupanga unga ndio ulipwe milion kweli πŸ˜ƒπŸ˜Ž ujira Ni mzuri Ila angalau kima Cha chini kifike 350 at least
Hatuzungumzii alipwe laki 8 au mlio ,walipwe kama serikali ilivyoelekeza ,utamlipaje mtu Tsh 3000 per day? Kama ni rahisi aajiri wanae kina yusuph waje kubeba magunia wapakize kwenye scania.
 

Hasa Kariakoo wengi wanapiga sana hela
 
Moto wa bluu m@#m&Β£e πŸ˜† dah
 
Hii thread nimeisoma comment zote, hela inatafutwa kwa nguvu na jasho afu ujira mdogo na hakuna usalama wa kazi. Nimewaza nani atakuja kuwasemea watanzania wenzetu wanaoonewa huko viwandani. Ni Serikali Haijui??? So sad aisee[emoji22].
Cyo pwa.na unakuta unategemewa.
 
Kuna jamaa angu mmoja hapa kaajiriwa kishirika flani kidogo pale mikocheni. Huwa ananivimbia Sana kwamba wanaoajiriwa Wana akili nyingi sabab yeye fom four na mm degree ishakula msamba mtaani. Huyu jamaa sijui analipwa kias gani ila Ile taasisi degree zote zinalipwa laki 3 tu. Na yeye fom four. Kila tarehe 20-30 hunipigiaga simu kuomba nisaidie hela ya kula au vocha. Dah! Motherfuc*** cheap labour 😑
 
Asikuambie mtu Kuna cha wachina cha moshi cement Hawa jamaa ni hatari unaweza piga kazi kwa matusi kweli lakini ikifika kudai haki Yako kwa mwezi lazima uende bunduki japokua ujira mdogo
 

Hivi wewe yale maelekezo niliyokupa na kumpanga Mtu akupe ajira ya sh 220,000 kwa mwezi cash,

Ukasema utaenda, mpaka leo hujaenda maana yake ni nini? Nyie ndo mnafanha watu wasisaidie watu.

Sasa ulikuja huku kulalamika nini? Nime ku pm, nimekupa maelekezo, mpaka leo namuuliza HR wa ile office hujafika, maana yake nini?
 
Mkuu saidia na hawa πŸ™πŸ™πŸ™ FAIZHAD
 
We umeenda kiwandani kufanya kazi hilo la kucheza mpira mlilitoa wapi?
 
Hao Osha na Tucta wapo kwenye payroll ya hao ma cartel wenye viwanda so hakuna anaejali.
 
Watu wametoa lawama, malalamiko ila hawajaeleza nini kifanyike, serikali ifanye nini.

Hivi viwanda vinasaidia watu, ndio maana watu wanaendelea kwenda, tofauti na hapo usingewaona wanaenda huko viwandani
Wanaendelea kwenda sababu hawana option, lkn kiuhalisia hizo kazi hazifai kwa mustakabali wa afya ya binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…