nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Nawafahamu baadhi ya vibarua wa hapo walio jenga na wengine wamejiongeza ni madereva.Ref Lucas TriganTunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya.
Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu.
Viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100.
Tena Azam ndio kabisa