Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Tunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya.

Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu.

Viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100.
Tena Azam ndio kabisa
Nawafahamu baadhi ya vibarua wa hapo walio jenga na wengine wamejiongeza ni madereva.Ref Lucas Trigan
 
Nawafahamu baadhi ya vibarua wa hapo walio jenga na wengine wamejiongeza ni madereva.Ref Lucas Trigan
Labda kujenga chumba kimoja na vibati vilivyochakaa! Huwezi kufanya kazi kwa muindi/mwarabu ukajenga nyumba ya maana. Bahkresa ndo hao hao! Wafanyakazi wao kwanza wanawafanya misukule ndo wanawaajili
 
Electrical technician sio Engineer , Engineer gani wa diploma
hali ni mbaya ndugu yangu huko viwandani hakuna cha engineer wala technician wala veta wote mnafanya kazi hizo hizo chini ya boss wa kihindi,
unataka chukua hiyo pesa hutaki tembea atafanya mtu wa veta.
mradi mkono uwende kinywani ndugu yangu watu tunafanya tu.
 
Mungu atunusuru waafrika, tabu watu wanazopotia zinaogofya sana. Nenda Kiboko(MMI Steel), SITA Steel, Lodhia nk utaona unyonyaji wa mtu muhindi. 3,500 p/d na watu asubuhi wamejaa getini kutafuta vibarua. Wahindi ni rubbish [emoji1005] kabisa. Ni wakwepaji wakubwa wa kulipa kodi, watoaji wakubwa wa rushwa, wanyonyaji wakubwa wa maslahi ya wafanyakazi na vibarua. Nenda tu hapo SSB wanapotengeneza Pepsi, upumbavu mtupu, ila ni umasikini wetu tu.
Sio umaskini ni akili
 
Shida ninkwamba watu wanaweza kukubali kupata elf 4 ila sasa kiuhalisia , can't we think another alternative ya kupata elf 4 ila ukawa huru kuwaza mengine..coz ukiwa kiwandani na umetaitiwa masaa yote unatoka late na umechoka , utawaza nini? Na hao wajiri wanajua uhaba wa ajira ndo mana wanalinga sana kutoa posho za mana , wewe ukisusa wanakuja wengine kujaribu..lakini hebu tutafakari, tuuze hata karanga, matikiti nk kuliko ajira za kihivyo..wazo tu sijakatisha tamaa mtu
 
Back
Top Bottom