A
Anonymous
Guest
Vibarua katika Kampuni ya uchimbaji madini ya Ruby International iliyopo Mkoani Morogoro, Wilayani Ulanga wanalalamika kuwa jinsi wanavyosachiwa baada ya kazi ni udhalilishaji.
Maana wanashikwashiwa makalio na muda mwingine wanavuliwa nguo. Kampuni hiyo inamilikiwa na Salim Alaudin Hasham ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mahenge/Ulanga.