A
Mkuu, kama nimemuelewa mleta mada, ishu si kufanya kazi, ishu ni kufanya kazi ndani ya mipaka yako. Mfano katika kazi yako ya ulinzi mbona hukumwambia HR avue nguo uone kama kuna kifaa cha ofisi kwenye makalio? Ina maana katika ukaguzi wako kuna mipaka. Swali sahihi ni, kwenye migodi mipaka ya ukaguzi ipo kisheria? au mlinzi anaruhusiwa kisheria kukagua hata kwa kukutoa nguo zote?Ikaenda hivo hivo kwa wiki mbili. Ndugu zanguni nawambia kumbe ulikuwa umewekwa mtego wa wa kupima utendaji kazi wetu. Cku moja moja si ikawa imefika mda wa kurenew contracts ndo akaja na huo mfumo wake na kumbe walikuwa wamepanga kupunguza walinzi from 25 hadi kumi coz walijenga ukuta ikabaki ni kusukuma geti tu. Amini msiamini hiyo squad yote tulibaki watu sita wengne wakaambiwa mnafanya kazi kimazoea mnasachi wengne na wengne mnawaacha wanapita kisa kapta getini kakuchekea unampotezea. Niliitwa mbele ya watu cku hiyo kabla cjajua kinachoendelea nikaambiwa nilicho kuwa nakifanya mim kwa hr ndo kinapaswa kufanyika kazn so kuanzia leo wewe ni..... {Kupandishwa cheo} na hao wengne wote 19 wachukue barua zao kwa secretary na hao watano watakua chini yako ndio ikawa hivo. Sasa mnaolalamika kusachiwa mkumbuke na huyo anae wasachi pia na yeye yupo kazn na anasukumwa na mkubwa wake. Bora tu kama hawawachapi viboko sachiweni tu ndugu zangu. Ukaguzi wenyewe kwa kawaida hauchukui hata dk2 ni kama cha kwanza kinavotoka