Subiri matusi yao jiandae tu.Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana.. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili kati ya yanga na CHADEMA! Kwa asilimia 100 atachagua CDM
Tamasha la SIMBA day limetoa fundisho kubwa na kuweka kumbukumbu ya kipekee hasa kwenye vibes, support ya wanachama na 'sold out' ya tickets...!
Haya mambo matatu yanawatesa sana YANGA na wanachama wake!
Kibaya zaidi hakuna jambo gumu kama kuwa mshabiki na mpenzi wa YANGA lakini kiitikadi wewe ni CHADEMA!
SIMBA jana pamoja na surprise nyingi za kipekee lakini walifunga kazi pale walipotezea msemaji wa mamlaka
YANGA wanatamani sana leo wafanye kitu tofauti, kikubwa na cha kipekee ili wawafunike SIMBA .. Lakini mpaka sasa wameshafeli kwenye "SOLD OUT" kuna ukiwa mkubwa jangwani na kuna furaha na vibe la kulazimisha
NB: Ma zombie ya Mbosso yana tafsiri kubwa sana KIROHO TANGANYIKA OCTOBER
Ila mnahangaika aise dah. Poleni sana
Wewe utakua yanga bwasheeUwe Simba au Yanga moja kwa moja ushajaa kwenye mfumo wa ccm.
Hizi timu zote 2 zinatumiwa.
Yeto π³ harika ππLissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili kati ya yanga na CHADEMA! Kwa asilimia 100 atachagua CHADEMA
Tamasha la SIMBA day limetoa fundisho kubwa na kuweka kumbukumbu ya kipekee hasa kwenye vibes, support ya wanachama na 'sold out' ya tickets...!
Haya mambo matatu yanawatesa sana YANGA na wanachama wake!
Kibaya zaidi hakuna jambo gumu kama kuwa mshabiki na mpenzi wa YANGA lakini kiitikadi wewe ni CHADEMA!
SIMBA jana pamoja na surprise nyingi za kipekee lakini walifunga kazi pale walipotezea msemaji wa mamlaka
YANGA wanatamani sana leo wafanye kitu tofauti, kikubwa na cha kipekee ili wawafunike SIMBA
Lakini mpaka sasa wameshafeli kwenye "SOLD OUT" kuna ukiwa mkubwa jangwani na kuna furaha na vibe la kulazimisha
NB: Ma zombie ya Mbosso yana tafsiri kubwa sana KIROHO TANGANYIKA OCTOBER
Comment kama hizi huja kinapoandikwa mtu asichokipenda.. Nadhani michezo na ushabiki na ushabiki hauna elimuKuna watu huwa nawaheshimu lakini naona wanapotaeana.
Jitahidini kutenganisha siasa na mpira au michezo kwa ujumla ili kama taifa tuwe na sauti moja.
Huwezi linganisha mashabiki 60,000 na watanzania mil 60 ukajiona mjuaji....
Acheni hiyo michezo