Yaah mimi Yanga ila hizo timu za kariakoo zote ni pro ccm.Wewe utakua yanga bwashee
Ninacho jua mimi yanga ndio ccm ya mtandaoYaah mimi Yanga ila hizo timu za kariakoo zote ni pro ccm.
Timu za mama.
Na hapo ccm imewaweza watanzania vilivyo.
Jidanganye, timu za serikali hizo.Ninacho jua mimi yanga ndio ccm ya mtandao
Kiukweli Leo mwamba amechemka😃😃😃Kuna watu huwa nawaheshimu lakini naona wanapotaeana.
Jitahidini kutenganisha siasa na mpira au michezo kwa ujumla ili kama taifa tuwe na sauti moja.
Huwezi linganisha mashabiki 60,000 na watanzania mil 60 ukajiona mjuaji....
Acheni hiyo michezo
Dah, Mzee mzima Leo umekwama. Mada umejaribu, hii comment umeharibu zaidi.Comment kama hizi huja kinapoandikwa mtu asichokipenda.. Nadhani michezo na ushabiki na ushabiki hauna elimu