Vibe la SIMBA ukiwa wa YANGA na tafsiri za kiroho

Kuna watu huwa nawaheshimu lakini naona wanapotaeana.

Jitahidini kutenganisha siasa na mpira au michezo kwa ujumla ili kama taifa tuwe na sauti moja.

Huwezi linganisha mashabiki 60,000 na watanzania mil 60 ukajiona mjuaji....

Acheni hiyo michezo
Kiukweli Leo mwamba amechemka😃😃😃
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…