Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na Naibu Spika wa Bunge Mh. Mussa Zungu.
Tazama Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa Wachezaji na Benchi la ufundi la Simba ndani ya Bungue mjini Dodoma wakiwa ni wageni wa Mbunge Rashid Shangazi
Tazama Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa Wachezaji na Benchi la ufundi la Simba ndani ya Bungue mjini Dodoma wakiwa ni wageni wa Mbunge Rashid Shangazi