Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa wachezaji wa Simba ndani ya Bunge

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na Naibu Spika wa Bunge Mh. Mussa Zungu.


Tazama Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa Wachezaji na Benchi la ufundi la Simba ndani ya Bungue mjini Dodoma wakiwa ni wageni wa Mbunge Rashid Shangazi

Your browser is not able to display this video.
 
Mpila unavyoshikamana na siasa ndio hasa mchawi wetu tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…