..elimu nzuri ndio njia pekee ya kuwafanya vijana kama hawa wakawa na maendeleo!
..mfano,kama kijana kama huyu eshapata huyo bibi halafu akafunguliwa m(i)radi,kama ana elimu nzuri itamsaidia yeye,familia yake na huyo bibi pia!hii ni fact kwani vijana wa arusha kadhaa washafungua miradi ya tours kwa kufadhiliwa na hawa mabibi!
..lakini la msingi hapa ni kwamba hiyo elimu itawafanya hao vijana kutokimbilia hivyo vibibi,badala yake watawasalandia vijana wenzao kama marasta wa zenj!
..zaidi,itawapanua mawazo kuwa, kuwa wanaume kama mademu si vizuri hivyo wajibidiishe kwenye shughuli nyingine na hiyo ije kama social duty!
..elimu ninayoiongelea hapa ni ya maarifa ya kujitegemea!lakini haya lazima yawe supplemented na juhudi za serikali kutoa opportunity zaidi kwa vijana!