Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Ifike mahali huu utaratibu wa kuadhibu watoto shuleni kwa viboko vikali upigwe marufuku maana hauna maana yoyote ile.
Viboko havisaidii lolote ni ujinga tu kuendeleza huu upuuzi.
Tuna elimu mbovu sana hatuwazidi chochote hao wenye nchi wasio chapa chapa hovyo watoto shuleni iwe kielimu,kiteknolojia hata kiuchumi.