nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Hivi unashika fimbo na unachapa binadamu mwenzako?
Niliapa kuwa sitakuja kumchapa mwanangu wala mtoto wa mtu mpaka nitakapoona kuku akimuadhibu mwanaye.
Ninachojua mimi ni kwamba binadamu hazaliwi na tabia bali anakutana nazo duniani kutokana na mazingira anayolelewa. Ukiwa busy na shughuri zako, dunia itakulelea mwanao na atakuletea tabia usizozipenda.
Tabia ya mtoto ni matokea ya malezi ya mzazi. Kuchapana hakuna maana yoyote zaidi ya kuendekeza utumwa