Mkundu hauzibwi kwa viboko.Viboko viendelee tuu mashoga yanazidi kuwa mengi
Tatizo walimu wanatolea stress zao kwenye vipigo na hilo ni tatizo
Mtoto hana maamuzi yake binafsi, jukumu la mzazi/mlezi kumuamulia viboko ni njia mojawapoMkundu hauzibwi kwa viboko.
Ukiamua kuacha mkundu wako wazi hayo ni maumuzi yako wewe na fikra zako wewe na tamaa zako wewe hakuna kitakacho kuja kufunika mkundu wako sio viboko wala chochote ni pale utakapo amua wewe mwenyewe kuufunika
Why are you gay? Kumbe viboko vipo mashuleni kuzuia ushoga na sio kitaaluma zaidi? As much as I hate upinde, wengi ni wanatoka uswahilini! Uswahilini wengi wa watoto wao wanasoma shule zenye hivyo viboko!Viboko viendelee tuu mashoga yanazidi kuwa mengi
Tatizo walimu wanatolea stress zao kwenye vipigo na hilo ni tatizo
Hapana mimi sio gay, ila miaka hiyo tulipokuwa shuleni niliona fimbo zikiwa msaada, ninauhakika intake yangu ya msingi sikuwahi kuona gay hata mmoja, secondari piaWhy are you gay?
Nilinunua ugomvi lakini umeonyesha maturity, kwa hilo nakupongeza. Sitaki nijikite sana kwenye ushoga sababu wapo rika lote kuanzia wadogo kwa wakubwa, waliopigwa viboko na wasio pigwa viboko.Hapana mimi sio gay, ila miaka hiyo tulipokuwa shuleni niliona fimbo zikiwa msaada, ninauhakika intake yangu ya msingi sikuwahi kuona gay hata mmoja, secondari pia
Nashauri adhabu mbadala zirudi mashuleni ikiwa pamoja nakung'oa visiki, kulima, kufyeka, kujaza maji kwenye matenki (sio pipa) ili ajiadhibu mwenyewe, watoto wa siku hizi ni walaini mno mnoMwalimu anavyopiga zaidi ya sheria inavyomtaka huyo ni muhalifu kama wahalifu wengine kwenye kada mbalimbali