Umemaliza Mkuu. Maana naona kuna mijinga huko inacomment tu ikiwa imejaa mihemuko.Tuanzie kwanza Nyumbani. Hakuna kupiga watoto, Wale wake zenu.
Sio Kitoto Nyumbani hakiogi mpaka Fimbo, Ila shuleni mnataka kifanye homework Bila fimbo
Walimu wapumbavu ndiyo wanategemea viboko. Asilimia 90 ya walimu wote Tanzania ni wapumbavu walio kubuu...kama yupo mwalimu anabisha alete hoja hapa...namsubiriIfike mahali huu utaratibu wa kuadhibu watoto shuleni kwa viboko vikali upigwe marufuku maana hauna maana yoyote ile.
View attachment 3262884View attachment 3262885
Viboko havisaidii lolote ni ujinga tu kuendeleza huu upuuzi.
Tuna elimu mbovu sana hatuwazidi chochote hao wenye nchi wasio chapa chapa hovyo watoto shuleni iwe kielimu,kiteknolojia hata kiuchumi.
Mit 23:13Walimu wapumbavu ndiyo wanategemea viboko. Asilimia 90 ya walimu wote Tanzania ni wapumbavu walio kubuu...kama yupo mwalimu anabisha alete hoja hapa...namsubiri
Pia imeandikwa usiue tena hiyo amri ilikuja kwa mikono ya musa sasa mbona baada ya hiyo amri musa aliua hadi watoto wachanga na watoto waliopo matumboni pia ..aliua wazee wagonjwa walemavu ...Toa fafanuzi...tatizo lenu wakristo mmejaa upumbavu vichwani hadi amjui nini maana ya amri za mungu.Mit 23:13
Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa