Viboko havina umuhimu wa kumfanya mwanao kuwa na adabu unapoteza tu Muda wako kumchapa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko.

Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa sawa.

Viboko huko mashuleni na majumbani mnapoteza Muda na hizo bullying zenu mara mnawaita Mbwa, hiyo midomo yenu michafu na tabia zenu ndo zimezaa watoto wa hovyo.
 
Kitu pekee ninachokuunga mkono ni matusi. Kweli haifai hata kidogo kumtukana matusi mtoto. Ila VIBOKO HAVIEPUKIKI. Hiyo ni lazima sana. Matusi kwa mtoto nayapinga.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Wewe lea wa kwako bila viboko nasi tutalea wetu kama tulivyo lelewa.
Punda haendi bila mjeredi,ila viboko hivio viwe via kumtia adabu sio kumkomoa
 
Natofautiana na wewe saana. Wanangu wote kama si viboko wasingefika hapa walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…