Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mfano wako hauna maana yoyote...punda tayari ni mnyama kwa hiyo haifai kumfananisha mnyama na mwanadamu ....Kama Elimu ingekuwa viboko, punda angekuwa UDOM
Biblia ukiisoma kama hivi ulivoisoma utakua unaimis-concept Kila siku...Wameandika kwamba mtoto usimnyime "mapigo" mapigo yanaweza kuwa fimbo lakini sidhani kama yalimaanishwa fimbo...nadhani tuunge mkono hoja ya mtoa mada na tujikite kuelewa zaburi kwamba "Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokua mzee"Wala usimnyime mwanao Fimbo kwenye maandiko matakatifu yanasema katika biblia.. Kwa iyo unapingana na MUNGU? matusi upo sahihi
Hakuna issue hapa! Kachanganya madesa!! Aliyemwambia kwamba viboko huleta akili ni nani???Comment Bora Ya Mwaka 2023/2024
Hata mimi sikubaliani na wewe kwa habari ya viboko!Mtoto anajifunza kwa kuona na sio hayo matusi Makubwa unayomwabia na Viboko.
Kuwa mtu smart hakikisha Mwanao unamfanya anakuwa smart kwa mjengea Huwezo wa kusoma vitabu , kuhoji na kuwa na utamaduni wa kuhakikisha unampa Muda wa meditation akae peke yake Sehemu tulivu then uone Kama ajakaa sawa.
Viboko huko mashuleni na majumbani mnapoteza Muda na hizo bullying zenu mara mnawaita Mbwa, hiyo midomo yenu michafu na tabia zenu ndo zimezaa watoto wa hovyo.