Viboko Pablo Escobar aliyowaingiza Colombia kinyemela wamezaliana hadi sasa kero

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Kwema WanaJf,

Gwiji maarufu la madawa ya kulevya Pablo Escobar aliingiza wanyama kinyemela 'smuggle' Hecienda Medelin Colombia kutoka Africa mwanzoni wa miaka ya 90.
960x0.jpg

Wanyama Pablo aliowaingiza walikuwa twiga, Swala, nyati, zebras, mbuni, tembo, nyumbu na viboko wote wala nyasi na mimea herbivorous.

Mwaka wa 1993 alipokuwa anakimbia kuokoa maisha yake kutoka kwa Majeshi ya serikali ya Colombia na hatimae kuuawa aliwatelekeza hawa wanyama kwenye zoo yake.
hippos-roaming-1.jpg

Ndipo serikali ikaamua kuwaamisha na kuwapeleka kwenye zoo nyingine za umma.

Ila walishindwa kuwahamisha viboko wanne dume moja na majike matatu walioletwa na pablo kutoka Africa kwasababu ya uzito na body nature yao (hard for human to handle) japo kwa tembo waliweza wakaamua kuwaacha na kuwatelekeza.

Wale viboko wanne wakatawanyika kwenye zoo wakazaliana na kuishi kwenye mto Magdalena sasa wamevuka mia na kuwa kero kwa jamii na ikolojia inayowazunguka.

Wanaharibu mimea halafu wajisaidia kwenye mto. Ila Wakazi wanawapenda kuna wakati watoto wa shule walikuwa wanaongozana na ndama viboko nyumbani.

Wanazaliana kwa kasi sana. Inasemekana viboko dume wadogo wanajitenga nakuanzisha familia zao kutokana na ushindani kutoka viboko dume wenye umri mkubwa.

Cha kustaajabisha majike yanazaa kila mwaka na yakiwa na miaka mitatu tu tofauti na ndugu zao wa Africa wanaanza kuzaa wakiwa na miaka 7.
pablo-escobar.jpg

Pia hawa viboko dume wenye umri mdogo wameoneka kilomita 300 kutoka Hecienda wakiwa na familia zao.

Serikali ya Colombia wanataka kuwapunguza ama kuwahanis ila wamepata upinzani mkali kutoka kwa wakazi na wanaikolojia.

Maelfu ya watalii wanafurika Colombia kuwatazama hawa viboko.

Ukitaka kusoma zaidi ingia Google na uandike Colombian hippos
 
Ok
Kwema WanaJf,

Gwiji maarufu la madawa ya kulevya Pablo Escobar aliingiza wanyama kinyemela 'smuggle' Hecienda Medelin Colombia kutoka Africa mwanzoni wa miaka ya 90.View attachment 1400337

Wanyama Pablo aliowaingiza walikuwa twiga, Swala, nyati, zebras, mbuni, tembo, nyumbu na viboko wote wala nyasi na mimea herbivorous.

Mwaka wa 1993 alipokuwa anakimbia kuokoa maisha yake kutoka kwa Majeshi ya serikali ya Colombia na hatimae kuuawa aliwatelekeza hawa wanyama kwenye zoo yake.
View attachment 1400338
Ndipo serikali ikaamua kuwaamisha na kuwapeleka kwenye zoo nyingine za umma.

Ila walishindwa kuwahamisha viboko wanne dume moja na majike matatu walioletwa na pablo kutoka Africa kwasababu ya uzito na body nature yao (hard for human to handle) japo kwa tembo waliweza wakaamua kuwaacha na kuwatelekeza.

Wale viboko wanne wakatawanyika kwenye zoo wakazaliana na kuishi kwenye mto Magdalena sasa wamevuka mia na kuwa kero kwa jamii na ikolojia inayowazunguka.

Wanaharibu mimea halafu wajisaidia kwenye mto. Ila Wakazi wanawapenda kuna wakati watoto wa shule walikuwa wanaongozana na ndama viboko nyumbani.

Wanazaliana kwa kasi sana. Inasemekana viboko dume wadogo wanajitenga nakuanzisha familia zao kutokana na ushindani kutoka viboko dume wenye umri mkubwa.

Cha kustaajabisha majike yanazaa kila mwaka na yakiwa na miaka mitatu tu tofauti na ndugu zao wa Africa wanaanza kuzaa wakiwa na miaka 7. View attachment 1400339

Pia hawa viboko dume wenye umri mdogo wameoneka kilomita 300 kutoka Hecienda wakiwa na familia zao.

Serikali ya Colombia wanataka kuwapunguza ama kuwahanis ila wamepata upinzani mkali kutoka kwa wakazi na wanaikolojia.

Maelfu ya watalii wanafurika Colombia kuwatazama hawa viboko.

Ukitaka kusoma zaidi ingia Google na uandike Combian hippos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuone hatma yetu Colombia 😄
Kolombia kwasasa hali nzuri na uchumi mzuri na wanapata watalii wengi sana. Kwasababu wameamua kuwa marafki na Marekani wakati wote ukikaa karibu na ua la waridi utanukia tu.

Mahasimu wakubwa wa Colombia ni Venezuela wana jadi ya mashindano toka enzi ni kama Kenyana Tanzania. Zamani Venezuela waliwacheka sana Kolombia walipokuwa vitani na uchumi mbaya. Sasahivi wa Venezuela ni wakimbizi colombia.

Licha ya hayo Colombia inaongoza duniani kwa kuwa na madini safi na bora yenye thamani ya Emeralds ikifuatiwa na Zambia
 
wawape wachina miezi miwili ili wapeleke ecology hapo
 
Kolombia kwasasa hali nzuri na uchumi mzuri na wanapata watalii wengi sana. Kwasababu wameamua kuwa marafki na Marekani wakati wote ukikaa karibu na ua la waridi utanukia tu.

Mahasimu wakubwa wa Colombia ni Venezuela wana jadi ya mashindano toka enzi ni kama Kenyana Tanzania. Zamani Venezuela waliwacheka sana Kolombia walipokuwa vitani na uchumi mbaya. Sasahivi wa Venezuela ni wakimbizi colombia.

Licha ya hayo Colombia inaongoza duniani kwa kuwa na madini safi na bora yenye thamani ya Emeralds ikifuatiwa na Zambia
Safi sana! Kwa kuongea hapo hivi sasa Colombia inatoa msaada hadi Venezuela na nchi kadhaa za Latin América. Pia katika industry ya Media na Production kwa kiasi kikubwa Colombia kwa Media na Production personnels kusambaa US, Mexico, Brazil, Spain na China.

Haya ndio mambo yakuchambua sasa Jon
 
Hata mimi nakula kiboko, Nyama yao ni kama nyama ya ng'ombe tu. Wakishindwa watuambie tuwafuate kuwarudisha Afrika
 
Mimi nataka kujua hao twiga aliwapataje.. Sijui ni wale waliokamatwa na Mrema kipindi kile kwenye container airport!?
Pablo Escorba ni miongoni mwa wanadamu wachache walioacha historia ktk uso wa Dunia, hata kama alikuwa ni mtu muovu lkn,bado historia inamtambua kwa nafasi yake!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Tunapambana na Corona Vurus. Tukimaliza tutawadai wanyama wetu. Ni makosa kisheria kumiliki Mali ya wizi!
 
Back
Top Bottom