On top ya maelezo yaliyotolewa hapo juu vyema pia ucheki disc za mbele maana kama zimechimbika au zinamawimbi pia inasababisha hiyo hali na ikiwezekana hiyo wheel balance ifanyie kwenye machine za digital utapata matokeo bora kabisa
Angalia tie rod ends,wheel alignment and balancing,steering box,reck ends (sina uhakika na spelling) na pia bushes zote za mikono ya hapo mbele. Tatizo hilo huwa linatokea Kati ya spidi 80 mpaka 120 ila ukizidisha linatulia.