Adamu Alphonce
Senior Member
- May 2, 2012
- 146
- 226
Una nyota ya magari...nipe kazi ya kuwa mwalimu wako..!nina grade one ya mechanics.![emoji3][emoji3][emoji3]Asante.nimepata kitu mi mwanamke napenda hizi issue kweli kuzijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una nyota ya magari...nipe kazi ya kuwa mwalimu wako..!nina grade one ya mechanics.![emoji3][emoji3][emoji3]Asante.nimepata kitu mi mwanamke napenda hizi issue kweli kuzijua
Tatizo liko hapo anaposema muhuni.Fuatilia harakaAngalia tie rod ends,wheel alignment and balancing,steering box,reck ends (sina uhakika na spelling) na pia bushes zote za mikono ya hapo mbele. Tatizo hilo huwa linatokea Kati ya spidi 80 mpaka 120 ila ukizidisha linatulia.