Vibration katika usukani

Vibration katika usukani

On top ya maelezo yaliyotolewa hapo juu vyema pia ucheki disc za mbele maana kama zimechimbika au zinamawimbi pia inasababisha hiyo hali na ikiwezekana hiyo wheel balance ifanyie kwenye machine za digital utapata matokeo bora kabisa
 
Check ball joint kama zina play halafu ucheck na rack hand
 
Angalia tie rod ends,wheel alignment and balancing,steering box,reck ends (sina uhakika na spelling) na pia bushes zote za mikono ya hapo mbele. Tatizo hilo huwa linatokea Kati ya spidi 80 mpaka 120 ila ukizidisha linatulia.
Tatizo liko hapo anaposema muhuni.Fuatilia haraka
 
Hii kitu na mm nmeiona baada ya kubasdili mipira/ tairi za gari
 
Back
Top Bottom