INAUZWA Vibubu vya kielektroniki

INAUZWA Vibubu vya kielektroniki

Umenikumbusha mbali vina kuwaga n chuma ulete ndani mapema sana. Anatangulizwa kabisa
 
Kimetengenezwa kwa material gani hadi panya wasikitafune?
Swali zuri sana hili.
Tutalifanyia kazi.
Material zake ni za plastick ngumu sana.
Mpaka sasa hatujapata kesi ya uharibifu wowote katika mashine hii.
Kibubu chetu kina mfumo maalum wa kupokea na kupanga pesa katika kisanduku.
Jifunze zaidi kwa video hii
 

Attachments

  • VID-20210103-WA0043.mp4
    4.1 MB
Umenikumbusha mbali vina kuwaga n chuma ulete ndani mapema sana. Anatangulizwa kabisa
Sio vizuri mkuu kuisemea vibaya biashara ya mwenzio

Uliza maswali ya msingi ujibiwe.

Tunarudishana nyuma sana kwa comment kama hizi.
 
Pia ni vyema kukawa na time restrictions. Yaan hata mtu akiwa na password asiweze kufungua kabla ya muda fulani aliojipangia. So inakuwa kama timer, haifunguki mpaka muda huo upite.
Asante kwa ushauri mkuu
Nitajitahidi kuufikisha kwa manufacturer kwa maboresho zaidi

Ubarikiwe
 
H

Karibu sana mkuu.
Uzuri wa hivi vitu unaweza tunza vitu vingine tofauti na pesa.
Weka saa
Weka pete
Weka simu
Ili mradi tu kuwe nà usalama wa kutosha.

Kuhusu password sio rahisi kujulikana labda umshirikishe mtu.
Vipi mtu akikikwapua au kina alarm?
 
H

Karibu sana mkuu.
Uzuri wa hivi vitu unaweza tunza vitu vingine tofauti na pesa.
Weka saa
Weka pete
Weka simu
Ili mradi tu kuwe nà usalama wa kutosha.

Kuhusu password sio rahisi kujulikana labda umshirikishe mtu.
Hivi kuna maswali mengi huwa najiuliza kuhusu hivi vibubu.
Usalama wake ni kuzuia watoto wasidokoe pesa ama?na kama sio hivyo je wezi wakiingia ndani watashindwa kuondoka nacho na kwenda kukivunjia mbele ya safari?
 
Back
Top Bottom