Hapana hiyo mbegu mpe Profesa.Analiwa sana Tena mtamu kinoma! Vp unahitaji mbegu..
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafugaji wa kuku hasa wa kienyeji watauelewa sana huu uzi kwa kweli Kuku wa kienyeji wana Vituko sana,ila huwezi kugundua mpaka ukae nao sana Hivi ni baadhi ya vituko ambavyo nimeshuhudia live ila unaweza kuongeza ulivyoviona kwa raha zako.....
1.Hakuna kuku mshenzi kama Jogoo ana kipaji cha kipekee,ukiwawekea kuku chakula na yeye hapohapo Anachukua point Tatu kwa Makoo.
2.Kuna kuku wangu mmoja anaongoza kwa Umalaya sasa hivi Anatembea na mjukuu wake!
3.Huwa nashangaa sana nikiona Kifaranga kidogo cha wiki moja kinachakura!
View attachment 1152769View attachment 1152770View attachment 1152786
Huyo jogoo mweusi atakuwa wa dawa si bureWafugaji wa kuku hasa wa kienyeji watauelewa sana huu uzi kwa kweli Kuku wa kienyeji wana Vituko sana,ila huwezi kugundua mpaka ukae nao sana Hivi ni baadhi ya vituko ambavyo nimeshuhudia live ila unaweza kuongeza ulivyoviona kwa raha zako.....
1.Hakuna kuku mshenzi kama Jogoo ana kipaji cha kipekee,ukiwawekea kuku chakula na yeye hapohapo Anachukua point Tatu kwa Makoo.
2.Kuna kuku wangu mmoja anaongoza kwa Umalaya sasa hivi Anatembea na mjukuu wake!
3.Huwa nashangaa sana nikiona Kifaranga kidogo cha wiki moja kinachakura!
View attachment 1152769View attachment 1152770View attachment 1152786
Majogoo wana tabia za uongo sana, wakiona jike wanadonoa chini patupu kama vile pana chakula ili kumvuta demu,kumbe viumbe wote madume wanatumia mbinu za uongo kupata majike hii ni asili.