No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Wafugaji wa kuku hasa wa kienyeji watauelewa sana huu uzi kwa kweli Kuku wa kienyeji wana Vituko sana,ila huwezi kugundua mpaka ukae nao sana Hivi ni baadhi ya vituko ambavyo nimeshuhudia live ila unaweza kuongeza ulivyoviona kwa raha zako.....
1.Hakuna kuku mshenzi kama Jogoo ana kipaji cha kipekee,ukiwawekea kuku chakula na yeye hapohapo Anachukua point Tatu kwa Makoo.
2.Kuna kuku wangu mmoja anaongoza kwa Umalaya sasa hivi Anatembea na mjukuu wake!
3.Huwa nashangaa sana nikiona Kifaranga kidogo cha wiki moja kinachakura!