Vibweka vya Kuku wa kienyeji.....

Vibweka vya Kuku wa kienyeji.....

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Wafugaji wa kuku hasa wa kienyeji watauelewa sana huu uzi kwa kweli Kuku wa kienyeji wana Vituko sana,ila huwezi kugundua mpaka ukae nao sana Hivi ni baadhi ya vituko ambavyo nimeshuhudia live ila unaweza kuongeza ulivyoviona kwa raha zako.....

1.Hakuna kuku mshenzi kama Jogoo ana kipaji cha kipekee,ukiwawekea kuku chakula na yeye hapohapo Anachukua point Tatu kwa Makoo.
2.Kuna kuku wangu mmoja anaongoza kwa Umalaya sasa hivi Anatembea na mjukuu wake!
3.Huwa nashangaa sana nikiona Kifaranga kidogo cha wiki moja kinachakura!

1152769
1152770
1152786
 
View attachment 1152769View attachment 1152770View attachment 1152786
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wafugaji wa kuku hasa wa kienyeji watauelewa sana huu uzi kwa kweli Kuku wa kienyeji wana Vituko sana,ila huwezi kugundua mpaka ukae nao sana Hivi ni baadhi ya vituko ambavyo nimeshuhudia live ila unaweza kuongeza ulivyoviona kwa raha zako.....

1.Hakuna kuku mshenzi kama Jogoo ana kipaji cha kipekee,ukiwawekea kuku chakula na yeye hapohapo Anachukua point Tatu kwa Makoo.
2.Kuna kuku wangu mmoja anaongoza kwa Umalaya sasa hivi Anatembea na mjukuu wake!
3.Huwa nashangaa sana nikiona Kifaranga kidogo cha wiki moja kinachakura!

View attachment 1152769View attachment 1152770View attachment 1152786
Huyo jogoo mweusi atakuwa wa dawa si bure
 
Majogoo wana tabia za uongo sana, wakiona jike wanadonoa chini patupu kama vile pana chakula ili kumvuta demu,kumbe viumbe wote madume wanatumia mbinu za uongo kupata majike hii ni asili.
 
Kama amenunua yeye chakula!
 
Hahahahah
Majogoo wana tabia za uongo sana, wakiona jike wanadonoa chini patupu kama vile pana chakula ili kumvuta demu,kumbe viumbe wote madume wanatumia mbinu za uongo kupata majike hii ni asili.
 
Huo majogoo yana mtindo ya kumsaidia tetea kulisha vifaranga hizi zote ni mbinu za kumnasa

Yanatembea na mtetea zaidi ya mmoja jogoo mbabe ndo anamiliki mademu wengi kwa upande wetu mwanaume mwenye pesa ndo anamiliki wanawake wengi

Yanavitamani vifaranga vikianza kukua mengine yanaenda kuvipandia similar kwa male humanoid huwa tunatamani vibint vibichi viwanafunzi
 
Back
Top Bottom