Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana CCM ubunge kwao ni deal sana ee?kwanini wanatumia nguvu kiasi hiki?
![]()
Haya ndio mabasi manne ya nayosemekana yamekamatwa!
wewe uwanja wako huko kule kwenye mambo ya kikubwa huku utakuweza kweli?Uongo huo! nani wa kuaminika CHADEMA?
Ni habari ya kweli na haina shaka yoyote na wengi wao wamekutwa na kadi za cdm !
wewe akili zako fupi kweli yani vijana wa cdm tusiende kuwadhibiti hawa wez kutegemee usalama! Hv ww uko bongo kweli?hujui hawa usalama ni usalama wa ccm?na katika billions of sh. za uchaguz igunga nao fungu lao lipo, sasa ndo tuwategemee hawa usalama kudhibiti hujuma?! Tumia akili wewe.
Inaonekana CCM ubunge kwao ni deal sana ee?kwanini wanatumia nguvu kiasi hiki?
![]()
Haya ndio mabasi manne ya nayosemekana yamekamatwa!
Kama ulijua ccm walifanya hivyo huko mtwara ulichukua hatua gani za kisheria?
Kama hajachukua hatua yeyote ile unaonaje ukiambiwa kuwa wewe ni mtengenza majungu na fitna ili kuleta vurugu ktk demokrasia?
CDM mlishindwa nini kuweka mawakala waaminifu?
Sawa kabisa. Ni vigumu sana kutendeka wizi kwenye vituo vya kupiga kura, kwahiyo nafasi pekee inayotumiwa na CCM ni kwenye maeneo ya kukusanyia masanduku ambapo kura zilizowekewa alama ya mgombea wao zinapelekwa kisha kuingizwa kijanja na makuwadi wa CCM. Zamani walimu walikuwa wakitumika lakini baada ya mfarakano baina ya waalimu na JK sasa wanawatumia polisi, Usalama wa Taifa na hata JWTZ kama tulivyoshuhudia katika uchaguzi uliopita. Eti magari ya Polisi na JWTZ ndiyo yalikuwa yakikusanya masanduku kana kwamba nchi iko katika hali ya kivita. Ukweli huu unafafanua ni kwa nini CCM wanapoinga mabadiliko katika sheria za uchaguzi. Wilayani kunakuwa na "Returning" Officer ambaye kwa kawaida ni kibaraka wa CCM na mtumishi wa serikali eti ndiye pekee mwenye haki ya kuAtangaza matokeo ambayo mara nyingi hayalingani na idadi halisi ya kura wapinzani walizopata. CHADEMA wakatae kabisa kura zao kubebwa bila kusindikizwa na watunze nakala halisi zilizosainiwa na mawakala wote katika kila kituo. Tukiwa smart katika hili CCM wamekwenda na maji.CCM kura hizo za wizi huwa wanapeleka kwenye eneo la kukusanyia masanduku hasa kwa wakurugenzSi wa halmashauri,na watu wakizubaa tu kidogo karata zinachanganywa na wanatangaza kutokana na walivyo chakachua.
mkuu ni kweli vyombo vya usalama ndo vinavyostahili kushugurikia tuhuma hizo, lakini utafanya nini kama vyo hivyo ndio vinavyo ratibu hizo tuhuma?. Bwana Rweyemam unaishi tanzania?Yaonesha vijana wa cdm sasa mnatumia akili ndefu kujiandaa kudhibiti hata mambo ambayo si yakini!! hivi habari hizi mna uhakika ni za kweli?
Hata hivyo wote mnaishi tanzania kwa kulindwa na vyombo vya usalama vilivyo chini ya Dola kwa utaratibu unaotambulika kisheria, kinyume na hapo ni mawazo finyu kufikiri kuwa vyombo vya usalama ni kwa ajili ya CCM pekee. Vijana kwenda Nzega kuimarisha ulinzi ni kichekesho vile? Hivi kazi ya kuwahamasisha vijana wa Igunga wahakikishe wanapiga kura imewashinda?
mkuu ni kweli vyombo vya usalama ndo vinavyostahili kushugurikia tuhuma hizo, lakini utafanya nini kama vyo hivyo ndio vinavyo ratibu hizo tuhuma?. Bwana Rweyemam unaishi tanzania?
Yaonesha vijana wa cdm sasa mnatumia akili ndefu kujiandaa kudhibiti hata mambo ambayo si yakini!! hivi habari hizi mna uhakika ni za kweli?
Hata hivyo wote mnaishi tanzania kwa kulindwa na vyombo vya usalama vilivyo chini ya Dola kwa utaratibu unaotambulika kisheria, kinyume na hapo ni mawazo finyu kufikiri kuwa vyombo vya usalama ni kwa ajili ya CCM pekee. Vijana kwenda Nzega kuimarisha ulinzi ni kichekesho vile? Hivi kazi ya kuwahamasisha vijana wa Igunga wahakikishe wanapiga kura imewashinda?
Nina wasiwasi na Tanzania unayoishi. NAKUHAKIKISHIA KWA UMRI WANGU NA UZOEFU WANGU SERIKALINI (37 YRS) katika mafanikio makubwa ambayo CCM walifanikiwa ni kuvuruga majukumu ya dola na kuyafanya ni majukumu yao. Kwa hiyo vyombo vyote vya dola ni matawi ya CCM. (Rejea kanda za matawi ya chama).
Mikakati hasa ya CDM inaonekana kama ni ubabe ubabe, uongo, uasi na vurugu. Muono huo unatoka na pesa nyingi kutumika na CCM ili ionekane hivyo. Kwa jinsi baadhi mmedumamzwa na mbinu chafu za CCM, inafikia hamuamini kinachotokea.
Ebu jielimishe kidogo kwa nini wana CCM kwa kutumia rasilimali zetu wote wapo Igunga na wanashinikiza left and right kuwabughudhi wananchi na wapinani wao? Ni sababu kubwa moja wananchi HAWATAKI, ila kwa sababu wao ni dola wanashikiza kwa magumashi na kujitangaza kuwa wanapendwa.
Kama uonavyo hiyo picha haina ujumbe wo wote. HIYO NDIYO DOLA kinachotakiwa ni kukuaminisha kimagumashi kwa matarajio kuwa hutauliza wala huna uwezo wa kufikiri zaidi ya kuona hayo mabasi hata kama yana haki yakuendelea na shughuli zake za kawaida. Usije kuja shangaa kwamba mmiliki ataandamwa pia.