Ipo hivi
[emoji116][emoji116][emoji116]
2 Mambo ya Nyakati 1 6
Sulemani akaipandia huko madhabahu ya shaba mbele za BWANA, iliyokuwako hemani pa kukutania, akatoa sadaka elfu za kuteketezwa juu yake.
Alafu ikafuatia hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
2 Mambo ya Nyakati 1 7
Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe.
Suleimani hapa akajibu hivi
2 Mambo ya Nyakati 1 10
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hapa Mungu aka respond
2 Mambo ya Nyakati 1 10
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?
Alafu tazamana hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Sasa basi ipo wakristo wengi wamebarikiwa kuwa matajir na nguvu ya kupata huo utajiri ipo. Ila shida ni upumbavu wa kukosa hekima na maarifa.
Kama huna hekima na maarifa ni ngumu kutoboza na ndio maana kupitia hiyo hekima Solom alizidi sana kuwa na utajiri hadi kufikia kina Malikia kwenda kuisikia hekima ya jamaa walienda na lundo la zawadi. Mungu wote katu kirimia utajiri ila huo utajiri uwe active unahitaji hekima.. kama huna utaendelea kubaki kama wewe ulivyo..
Alafu mie sijangi.. Mie nimeishakuambia utanikuta mbinguni kama hutaki shauri yako.. na utanikuta na taji kubwa kuliko yako na duniani utakuta nimekula raha