Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Huu uzi una mixture nying aisee...

Kutoka Kwenye vimbwengo to natural power to mazabahu to Angel/malaika to Bible.... ahahaaa

Anyway,kuna mambo yapo vzur nimeyapenda na kukubaliana nayo na mengne kupingana nayo kulingana na Iman yngu na uelewa wangu.

Ukweli ni kwamba Mungu wa mbinguni husikia kila anaemuomba na humpa yule amtakae kwa muda wake,ila kuna sehemu na nyakati ukimuomba Mungu kitu Basi kuna possible kubwa ya kupata hcho kitu...pia kuna vtu ukivfanya kwa ajili ya Mungu (sadaka/Dhaka au kafara) kwa ajili ya unyenyekevu kwake na ukamuomba chochote ktk vtu vzur Basi kuna possibility kubwa ya kupewa hcho kitu.

Pili Malaika hawana power yoyote kwa binadamu kazi yao kubwa ni kuandka Yale matendo yako either mazur au mabaya...hawana uwezo wa kukuzuia wewe na ajali wala kukupatia pesa.

Ila ukweli ni kwamba sisi wanadamu tumeumbwa na power katk miili yetu na hyo power tunaweza tukai activate na kuitumia regarding to our believe...Kwenye watu Mia wawili wanaweza wakalitambua hili.

Mitume waliweza kua activate na kuitumia hyo power kulingana na Imani zao na ndomana wakawa na uwezo mkubwa wa kuamini (kumwamini Mungu) kiasi kwamba wakaweza adi kufanya miujiza Kama kutembea juu ya maji,kuipasua bahari,kupambana ktk vta mbalimbali n.k ambapo leo hii Mimi na wewe hatuwezi.

Mungu ametupa uhuru/nguvu ya kufanya chochote au kuwa vyovyote vile ndomana leo ukitaka kuwa malaya,mchamungu,tajiri,maskini au n.k ni wewe tu na Imani yako.

Ndomana ktk kitabu chetu waislamu.... Mwenyezi Mungu anatuambia hambadili mtu adi abadili Yale yaliyomo katka nafsi zao.

Na Wana psychology wanasema....a man become what he thinks about most of time..

Hili ni somo pana Sana na Lina hitaji Imani na uelewa wa hali ya juu.

Kuna vtu vya kufanya kuweza ku activate hyo power ni swala la kuamini na kujifunza tu.

Hii dunia inamambo mengi jaman Ila kuhani Noah nakupa kongore umajutahidi mzee...
Dah!
Siamini kama Wewe ni Mwislamu, hakika kama Waislam wa huku ndani wangekua kama wewe, wangewavuta watu wengi kutaka kuujua Uislam......

Umeweka hoja zako bila mawaa na japo sijakubaliana na baadhi ya Hoja zako, ila nimekukubari kwa jinsi ulivyoshiriki mjadala bila Matusi, Kashfa kama ambavyo nimezoea kuona kwa Members wengine wa Kiislam wakichangia mijadala mbalimbali....

Wale wanaojifanya wanaijua Dini ya Kiislam wanatakiwa kujifunza kutokea kwako........

Kupitia comment yako, Nimeona wale Wanajiona ni Ma Ostaadh wa Jf kumbe ni Maandazi kabisa.
 
Dah!
Siamini kama Wewe ni Mwislamu, hakika kama Waislam wa huku ndani wangekua kama wewe, wangewavuta watu wengi kutaka kuujua Uislam......

Umeweka hoja zako bila mawaa na japo sijakubaliana na baadhi ya Hoja zako, ila nimekukubari kwa jinsi ulivyoshiriki mjadala bila Matusi, Kashfa kama ambavyo nimezoea kuona kwa Members wengine wa Kiislam wakichangia mijadala mbalimbali....

Wale wanaojifanya wanaijua Dini ya Kiislam wanatakiwa kujifunza kutokea kwako........

Kupitia comment yako, Nimeona wale Wanajiona ni Ma Ostaadh wa Jf kumbe ni Maandazi kabisa.

Upo sahihi kabsa mkuu...Ila hayo yote ni mapungufu ya bianadamu na sio dini ndo inawaambia wafanye hvyo..

Kikubwa wajifunze Kama ulivyosema Apo juu..
 
Dah! Umenikumbusha mbali Sana aisee piere kuhusu vibwengo.
muda kidogo wakati ule tupo makuzi/tunachipukia kwenye kukua. Nilikua na jamaa yangu anaitwa Shabani sasahivi ni Soja/mjeshi mwenye vyeo vyake.
Alikua akiishi morogoro matombo huko yule jamaa alikua akiona Maza wake kapika ugali wakati wa jioni akitoka kucheza Mpira anaoga uyoooo anaelekea kwa Bibi kula ubwabwa, akiona home ubwabwa anatulia kifupi alipenda kula wali wakati wa usiku.....
siku iyoo aliporudi alihisi mama anapika wali kuja kustuka saa nne kasoro unatengwa ugali/nguna ikabidi haraka aweke shati begani na kuelekea kwa Bibi akiwa njiani giza nene kwa nyuma aliona Kuna mtu mfupi Sana anamfata ikabidi aongeze mwendo mara na yule mtu anaongeza mwendo, aliposema ajifiche kichakani nayule bwana alikuja kujificha pale pale usintanie alipogeuka na kumkuta jamaa kajificha nyuma yake .... Shabani alitimua mbio Sana mpaka kwa Bibi siku iyo hakurudi home... Tokea hapo akawa anakula chochote kinachopikwa home
 
Nimefundisha wengi sana bible Verse to verse.. na wengine ni watumishi wenu.. huko mijini.. Na wana balance injili yao.. na wengine huenda wamekufundisha na wewe [emoji2][emoji2][emoji2]
Hao ndio wanaitukanisha imani. Nimekupima kwa maandiko, ni kwamba unahitaji ufundishwe upya. Ila kwa nguvu za kiroho inategemea unapata wapi mafunuo yako (source of revelation). Si kila mtu aniitaye Bwana ataingia katika ufalme.
 
Hao ndio wanaitukanisha imani. Nimekupima kwa maandiko, ni kwamba unahitaji ufundishwe upya. Ila kwa nguvu za kiroho inategemea unapata wapi mafunuo yako (source of revelation). Si kila mtu aniitaye Bwana ataingia katika ufalme.
😀😀😀 nimeisha ku ignore level yako na yako ya kiroho i tofauti sanaa. Kuna vitu hata nikikueleze huto kaa ukaelewa .. huwezi argue na akilikubwa.. watumisbi wengi nikuambie wamepita kwenye darasa langu.. na wengine huenda ni walimu wa kiroho. Kama hujui Mungu mwenye paka leo anatumia mapepo kama watumishi wake katika mazingira kadha kadha, na pia kama hujui unaeza pia kumtuma pepo.. akafanya unachotaka bado hii utaona shiriki 😀😀😀.. hivi vitu tunavijua akili kubwa tu.. Ndio maana bible inakuambia Mwizi akamatawapo hurudisha mala saba.. meishia kuwatoa watu pepo na kuaacha na umaskini wao.. kama una uwezo wa kumkea pepo akatoka, pia unatakiwa wa kumuamuru arudishe kila alicho chukua kwenye maisha ya huyo mtu.. ila kwakua una akili ndogo lazima na hapa uvurugwe.. 😀😀😀😀
 
Hao ndio wanaitukanisha imani. Nimekupima kwa maandiko, ni kwamba unahitaji ufundishwe upya. Ila kwa nguvu za kiroho inategemea unapata wapi mafunuo yako (source of revelation). Si kila mtu aniitaye Bwana ataingia katika ufalme.
Level yako ni ndogo sana kimaandiko.
 
Kuna muda inanitokea nikivua shati ama tshirt vinyweleo vya tumboni na mikononi kusimama na kufuata movement ya nguo kama kuna nguvu Fulani hivi ya usumaku. Hii imekaaje mkuu?
Unatakiwa kuangalia amani ya ndani .. kuna ndan unakuwa na fear flani, maana yake sio kitu kizuri. Ila kama ndani yako una hisi furaha na amani kupita kiasi ni malaika ( hevenly being )
 
Ningependa kujua naanda madhabahu na natoa sadaka ya mali lakini najijua mapungufu yangu labda ni mzinzi na nimeshindwa kuacha lakini nimepunguza spidi, vipi madhabahu inaweza kuwa na matokeo kweli ama ni kama kumdhihaki Mungu hii imekaaje tafadhali.
Huwezi mkimbia Mungu kwakua umetenda dhambi. Bali unatakiwa umkaribie zaidi ili uweze ishinda hiyo dhambi. Mungu anajua kesho yetu. Wengu hufanya makosa haya kwa kuhisi wao kwakua wanafanya dhambi basi Mungu hawezi wasikia na kuwajibu sio kweli hata kidogo. Kama ni hivyo Mungu angeondoka pumzi yake kwako. Kikubwa muelezee Mungu huo udhaifu wako au hiyo dhambi unayo irudia mala kwa mala, then Muachie Mungu ashughulike nalo. Maana sie binadamu hatuna uwezo wa kuishinda isipokuwa kwa kuwezeshwa na Mungu.

👇👇👇

Isaya 6 5
Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi.

Huyu ni asaya kuanzi Chapter 1 hadi 6 ana mtumikia Mungu na alikuwa akutoa unabii kwa mataifa... ila kumbe alikuwa ana madhambi yake.. ila haya kumzui kumtumikia Mungu wala Mungu kusema nae..

Na haoa chini utaaona Mungu anaamua kumsafisha

👇👇👇👇

Isaya 6 7
akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.

Zingatia sana, usikimbie kwasababu ni mdhaifu wa dhambi, Mungu anatujua zaidi yetu tujijuavyo wala usiji hukumj, kwasababu muda wa hukumu bado. Mungu anaweza kututoa kwenye kila aina ya mtego wa ibiri kama tutafungua moyo wetu kwake
 
Mkuu Kuhani Noah ningependa kujua zaidi origin ya sex . Tafadhari iilezee hii
Sawa mukuu badae kitodo mida ya mchana nikisha tulia nitaanza shusha nondo zake.. sasa hivi najibu maswali ya watu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nimeisha ku ignore level yako na yako ya kiroho i tofauti sanaa. Kuna vitu hata nikikueleze huto kaa ukaelewa .. huwezi argue na akilikubwa.. watumisbi wengi nikuambie wamepita kwenye darasa langu.. na wengine huenda ni walimu wa kiroho. Kama hujui Mungu mwenye paka leo anatumia mapepo kama watumishi wake katika mazingira kadha kadha, na pia kama hujui unaeza pia kumtuma pepo.. akafanya unachotaka bado hii utaona shiriki [emoji3][emoji3][emoji3].. hivi vitu tunavijua akili kubwa tu.. Ndio maana bible inakuambia Mwizi akamatawapo hurudisha mala saba.. meishia kuwatoa watu pepo na kuaacha na umaskini wao.. kama una uwezo wa kumkea pepo akatoka, pia unatakiwa wa kumuamuru arudishe kila alicho chukua kwenye maisha ya huyo mtu.. ila kwakua una akili ndogo lazima na hapa uvurugwe.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sihitaji akili kubwa, naenenda kwa roho. Mbona hujajibu ni wangapi umewafanya matajiri? Hii network ya watumishi wanaotumia maskini kujitajirisha ndio unaowazungumzia? Nionyeshe nani ulimrudishia mara 7. Watumishi ninyi twawajua, na makanisa ya jinsi yenu twayajua, waumini wenu twawaona na tunaishi nao. Majigambo ya kwenye keyboard, maredio na TV, lakini uhalisia zero.
 
Huwa najifunza sana na ku invest sana mda kwenye elimu ya ulimwengu wa roho. Kwasabau ulimwengu wa roho ni superiol ya huu ulimwengu wa damu na nyama. Tukija pata mda unaeza point aina yoyote ya topics tuka ijadili kitu chochote ambacho ni interst kukijua then tukashusha nodno tunaweka na mda wa maswali na majibu

Mkuu kama ni subscribers basi ushatupata, turekodie voice note uweke Youtube tujifunze zaidi hili somo lako.
 
Naona tulikua tunaenda vizuri na Kuhani Noah na aachiwe aendelee kama mwingine ana topic yake aitoe wengine watauliza maswali kama wana interest nayo sio kumuingilia unaharibu mtiririko
 
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukweli kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwanini kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu tuambiane
Bungeni kuna kibwengo kimoja, inadaiwa origin yake ni Wilaya ya Kongwa, Kina roho mbaya kuliko ya shetani, bora ukutane na Ibilisi kuliko kibwengo ndoogai
 
Sadaka unatoa kutoka na jambo husika unalo hitaji. Huwezi kuwa unataka gari ya million 500 , alafu unaenda toa sadaka ya elfu 10,000 ili uipate 😀😀😀.. hapo kanuni ya exchange inagomea mkuu... hata Mungu alipotaka komboa ulimwengu ilibidi atoe cha kipekee na alichokuwa anakipenda zaidi kuliko kitu chochote..

Kuhani Noah
Baada ya Yesu kuwa amekufa msalanbani, ukubwa wa fedha unayotoa kama sadaka si ukubwa wa kile unachotaka Mungu akujibu. Unapokea kikubwa au kidogo kulingana na Mungu anavyokuona rohoni mwako, namna moyo wako ulivyomwelekea yeye. Mungu huwa hafanyi biashara ya kuuza mibaraka kwa wanadamu kwa kutumia fedha au mali zingine walizonazo, kwamba anayetoakingi ndiye anayepokea zaidi, hapana siyo lazima.
Mungu anafanya biashara ndiyo ila kwa kuangalia moyo tu wa mwanadamu husika,bila kujali mwanadamu huyo anatoa kingi au kidogo kiasi gani, bali kama tu anatoa kwa moyo. Ukitoa kingi na kwa moyo, utabarikiwa ndiyo ila pia si lazima tena uwe ni mbaraka mkubwa kuwazidi wengine wote waliowahi kutoa kidogo kuliko kile ulichotoa wewe
Unapokea zaidi kutoka kwa Mungu kutokana na namna moyo wako ulivyomwelekea yeye. Unaweza ukatoa kingi sana kwa hitaji kubwa sana, halafu Mungu akakunyima hitaji hilo kubwa, akampa mtu mwingine kabisa ambaye pengine hakutoa hata sadaka ila tu ni kwamba moyo wake mtu huyo unampendeza zaidi Mungu kuliko unavyompendeza wewe. Hatununui baraka kwa Mungu, hatuna gharama ya kuweza kuzilipia sisi wenyewe bali kwa Damu ya Yesu!
 
Back
Top Bottom