Nimefundisha wengi sana bible Verse to verse.. na wengine ni watumishi wenu.. huko mijini.. Na wana balance injili yao.. na wengine huenda wamekufundisha na wewe 😃😃😃Aisee huyajui maandiko. Tangu mwanzo nimeliona hilo, ama unapotosha kusudi, ama kweli hujui. Kama unashindwa kuelewa MFANO mwepesi namna hiyo, ni roho yupi anayetenda kazi ndani yako?
Endelea kutupa madini mkuu...Nimefundisha wengi sana bible Verse to verse.. na wengine ni watumishi wenu.. huko mijini.. Na wana balance injili yao.. na wengine huenda wamekufundisha na wewe 😃😃😃
Ipo hivi
[emoji116][emoji116][emoji116]
2 Mambo ya Nyakati 1 6
Sulemani akaipandia huko madhabahu ya shaba mbele za BWANA, iliyokuwako hemani pa kukutania, akatoa sadaka elfu za kuteketezwa juu yake.
Alafu ikafuatia hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
2 Mambo ya Nyakati 1 7
Usiku ule Mungu akamtokea Sulemani, akamwambia, Omba utakalo nikupe.
Suleimani hapa akajibu hivi
2 Mambo ya Nyakati 1 10
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hapa Mungu aka respond
2 Mambo ya Nyakati 1 10
Basi sasa nipe hekima na maarifa, nijue kutoka na kuingia mbele ya watu hawa; kwa kuwa ni nani awezaye kuwahukumu watu wako hawa walio wengi?
Alafu tazamana hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
Kumbukumbu la Torati 8 18
Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Sasa basi ipo wakristo wengi wamebarikiwa kuwa matajir na nguvu ya kupata huo utajiri ipo. Ila shida ni upumbavu wa kukosa hekima na maarifa.
Kama huna hekima na maarifa ni ngumu kutoboza na ndio maana kupitia hiyo hekima Solom alizidi sana kuwa na utajiri hadi kufikia kina Malikia kwenda kuisikia hekima ya jamaa walienda na lundo la zawadi. Mungu wote katu kirimia utajiri ila huo utajiri uwe active unahitaji hekima.. kama huna utaendelea kubaki kama wewe ulivyo..
Alafu mie sijangi.. Mie nimeishakuambia utanikuta mbinguni kama hutaki shauri yako.. na utanikuta na taji kubwa kuliko yako na duniani utakuta nimekula raha
Ndugu ijue kweli[emoji2][emoji2][emoji2].. Basi baki hivyo.. Mungu hajawa na planing ya watoto wake washindwe. Kama Mungu wako anabahatisha . Utabaki na mashaka mashaka ya wenda mbinguni au kwenda motoni.. kupata taji iliyo bora au dhaifu ni jitihada zako
Huyo babu yako yuppo wapi?Nakumbuka zamani kidogo nikiwa namsindikiza mzee mmoja Kwake akitokea kwa babu yangu tulikua tukipiga story za dizaini hii.Tulipita pahala kuna soko la jioni watu wamejazana ilikua mida ya saa mbili usiku,ndipo mzee huyu akanambia unataka kuona inavyokua nikamjibu ndio, akadai nisionyeshe hofu. Basi bana akanipakaa vijidawa flani machoni, niliona mambo ya kutisha sasa sijui ndo vibwengo, ni ķama vitoto lakini vichwa Vyao nivibabu na vibibi. Pia hapo niliona bàadhi ya wamama wakiwa uchi na Wengine wamekalia mafuvu ya vichwa vya watu. Pia baadhi walionekana kama wendawazimu. Yule mzee aliniambia umetosha nikamwambia ndio. Basi akanipakaa dawa nyingine nikaona mambo yamekua kawaida. Badala ya kuendelea kumsindikiza ilibidi yeye tena anirudishe home, tulipofika tulimkuta babu akauliza vp ameona hapo nikagundua nilikua nafunzwa kitu. Mpaka kesho maeneo haya sili wala situmii muda mwingi kuwepo. Babu alinambia nisije pakwa dawa hii tena kwani huharibu macho.
Matusi hayatakusaidia nduguKumbe wewe ni mbishi, nimekupa sample uelewa namna ambavyo adui ame tempe na christian kama nyie.. enzi za Baba zetu kina IBRAHIM na kina SOLOM ndio walikuwa wana take control na hiyo ndio ilikuwa planing ya Mungu hata sasa. Ila kwa sababu ya ma upumbavu ya watu leo walio take control ya uchumi ni wana wa giza..
Mie sio mtumishi mzee baba.. kwamba nikuoneshe kondoo wangu. [emoji2][emoji2][emoji2].. nyie watumishi msio na elimu ya kutosha mnalisha sana matango waumini wenu, wanakuwa maskini.. wanaonewa na wana giza..
Amefafanua mwenyewe kwenye andiko hilo isipokuwa unapotosha kutaka kuhalalisha fweza[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]... Ndio maana nakuambia bado sana wewe.. huna unacho elewa. Kila neno lilotoka kinywani kwa Yesu Kristo alikuwa ana maanisha hakuwa anaigiza.. baki hivyo..
Sijafundishwa na wapotoshaji, hakuna mwalimu kama Roho Mtakatifu. Hawa wa mijini tunawajua, wamepa sikitiko watu wengi maskini.Nimefundisha wengi sana bible Verse to verse.. na wengine ni watumishi wenu.. huko mijini.. Na wana balance injili yao.. na wengine huenda wamekufundisha na wewe [emoji2][emoji2][emoji2]
Kilichokuudhi ni usawa wa madhabahu za kichawi na za kidini ama kutoshusha nondo?
Ugumu wenu tu wa kuelewa, sasa unataka nishushe nondo za kazi gani kwani napingana na kipi?
Mimi nakubaliana na maandishi haya na baada ya kusoma nikawaza mbona hizi ibada mbili ni kitu kimoja tu nyinyi mnakuja na mapovu
Yaani mwafrika anavimba kweli ukigusa imani za kizungu na kiarabu utafikiri anazijua
Pumbavu wakubwa
Eeeh malizia basi namna ya kuactivate hiyo powerHuu uzi una mixture nying aisee...
Kutoka Kwenye vimbwengo to natural power to mazabahu to Angel/malaika to Bible.... ahahaaa
Anyway,kuna mambo yapo vzur nimeyapenda na kukubaliana nayo na mengne kupingana nayo kulingana na Iman yngu na uelewa wangu.
Ukweli ni kwamba Mungu wa mbinguni husikia kila anaemuomba na humpa yule amtakae kwa muda wake,ila kuna sehemu na nyakati ukimuomba Mungu kitu Basi kuna possible kubwa ya kupata hcho kitu...pia kuna vtu ukivfanya kwa ajili ya Mungu (sadaka/Dhaka au kafara) kwa ajili ya unyenyekevu kwake na ukamuomba chochote ktk vtu vzur Basi kuna possibility kubwa ya kupewa hcho kitu.
Pili Malaika hawana power yoyote kwa binadamu kazi yao kubwa ni kuandka Yale matendo yako either mazur au mabaya...hawana uwezo wa kukuzuia wewe na ajali wala kukupatia pesa.
Ila ukweli ni kwamba sisi wanadamu tumeumbwa na power katk miili yetu na hyo power tunaweza tukai activate na kuitumia regarding to our believe...Kwenye watu Mia wawili wanaweza wakalitambua hili.
Mitume waliweza kua activate na kuitumia hyo power kulingana na Imani zao na ndomana wakawa na uwezo mkubwa wa kuamini (kumwamini Mungu) kiasi kwamba wakaweza adi kufanya miujiza Kama kutembea juu ya maji,kuipasua bahari,kupambana ktk vta mbalimbali n.k ambapo leo hii Mimi na wewe hatuwezi.
Mungu ametupa uhuru/nguvu ya kufanya chochote au kuwa vyovyote vile ndomana leo ukitaka kuwa malaya,mchamungu,tajiri,maskini au n.k ni wewe tu na Imani yako.
Ndomana ktk kitabu chetu waislamu.... Mwenyezi Mungu anatuambia hambadili mtu adi abadili Yale yaliyomo katka nafsi zao.
Na Wana psychology wanasema....a man become what he thinks about most of time..
Hili ni somo pana Sana na Lina hitaji Imani na uelewa wa hali ya juu.
Kuna vtu vya kufanya kuweza ku activate hyo power ni swala la kuamini na kujifunza tu.
Hii dunia inamambo mengi jaman Ila kuhani Noah nakupa kongore umajutahidi mzee...
Haihusu fedha, ni kuhusu ufalme wa Mungu. Kama huelewi uliza[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Luka 19 13
Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.
[emoji3516][emoji3516]
Huyo ndie Bwana Yesu , alitufua msalabani..
Wewe ni nani unaekataa watu wasufundishwe namna ya kupata mafanikio ya kipesa ?
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mathayo 25 27
basi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao riba; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake.
Huyu ni Yesu Kristo muanzilishi wa imani yetu, anazungumzia mkwanja.. wewe ni nanii unataka watu waendelee kukaa kwenye umaskini ?
Huu uzi una mchanganyiko wa mambo mengi Sana unaweza ukajikuta mtu unasoma afu usielewe chochote..Eeeh malizia basi namna ya kuactivate hiyo power
Nitashukuru mkuu🙏Huu uzi una mchanganyiko wa mambo mengi Sana unaweza ukajikuta mtu unasoma afu usielewe chochote..
Nitakutumia kitabu pm uanze nacho kukisoma then Kama utakimaliza Kama utaitaji uongeze ujuzi zaidi ntakutumia vingine...
Let say, una meditade ukuu wa Mungu ,( maarifa ya Mungu au neno la Mungu paka unazama ndani kabisa, wengine huanza kuona inner vision au hadi upitiwa usingizi ( trance ) - supernatutal experience ). Dah! Nahisi hapa kuelewa intimacy tungeanza fundisha origin ya sex hapa pangekuwa rahisi sana kupaelewa.. ila ngoja nijaribu. Intimacy na guardian angel ni pale unapokuwa na deep fellowship na malaika wako as a result your guardian angel kuweka ( kupanda mbengu ya kiroho - inaweza kua aina ya baraka, kipawa , wisdoma.. mimba ya kiroho ndio matokeo ) kuna watu wana mimba za kiroho za mafanikio au vipawa flani hayo ni matokeo pia ya kuwa na intimacy na malaika zao amaboa hupanda hizo mbengu.. ila tungeanzia kule ingekuwa rahisi kunielewa why kwa wadada huwa wanakuwa wet.. na wanaume panakuwa kama pamegigwa baridi pana kakamaaa kabisa.. natafakari namna rahisi kukuelekeza kwasbabau ninge anzia kwenye origin ya sex ungeleewa kwa urahisi sana
Huu uzi una mchanganyiko wa mambo mengi Sana unaweza ukajikuta mtu unasoma afu usielewe chochote..
Nitakutumia kitabu pm uanze nacho kukisoma then Kama utakimaliza Kama utaitaji uongeze ujuzi zaidi ntakutumia vingine...
Ni kweli kabisa huu uzi una mkorogo wa mada mnoo ila unaposema malaika hawana powers zozote kwa binadamu kwa Imani yako ya kiislam unajikanganya pia maana najua kabisa ni lazima utakuwa unavijua visa vya malaika Jibrill na mtume Muhammad?In islam malaika Jibrill alipomwambia Mohammad Iqrah :suratul a'laq(Soma kwa jina la mola wako mlezi aliyekuumba) baada ya mtume kushindwa si alibanwa mbavu zake na malaika huyohuyo unaesema ana lolote kwa mwanadamu...All in all na mimi naomba unitumie hicho kitabu pmHuu uzi una mixture nying aisee...
Kutoka Kwenye vimbwengo to natural power to mazabahu to Angel/malaika to Bible.... ahahaaa
Anyway,kuna mambo yapo vzur nimeyapenda na kukubaliana nayo na mengne kupingana nayo kulingana na Iman yngu na uelewa wangu.
Ukweli ni kwamba Mungu wa mbinguni husikia kila anaemuomba na humpa yule amtakae kwa muda wake,ila kuna sehemu na nyakati ukimuomba Mungu kitu Basi kuna possible kubwa ya kupata hcho kitu...pia kuna vtu ukivfanya kwa ajili ya Mungu (sadaka/Dhaka au kafara) kwa ajili ya unyenyekevu kwake na ukamuomba chochote ktk vtu vzur Basi kuna possibility kubwa ya kupewa hcho kitu.
Pili Malaika hawana power yoyote kwa binadamu kazi yao kubwa ni kuandka Yale matendo yako either mazur au mabaya...hawana uwezo wa kukuzuia wewe na ajali wala kukupatia pesa.
Ila ukweli ni kwamba sisi wanadamu tumeumbwa na power katk miili yetu na hyo power tunaweza tukai activate na kuitumia regarding to our believe...Kwenye watu Mia wawili wanaweza wakalitambua hili.
Mitume waliweza kua activate na kuitumia hyo power kulingana na Imani zao na ndomana wakawa na uwezo mkubwa wa kuamini (kumwamini Mungu) kiasi kwamba wakaweza adi kufanya miujiza Kama kutembea juu ya maji,kuipasua bahari,kupambana ktk vta mbalimbali n.k ambapo leo hii Mimi na wewe hatuwezi.
Mungu ametupa uhuru/nguvu ya kufanya chochote au kuwa vyovyote vile ndomana leo ukitaka kuwa malaya,mchamungu,tajiri,maskini au n.k ni wewe tu na Imani yako.
Ndomana ktk kitabu chetu waislamu.... Mwenyezi Mungu anatuambia hambadili mtu adi abadili Yale yaliyomo katka nafsi zao.
Na Wana psychology wanasema....a man become what he thinks about most of time..
Hili ni somo pana Sana na Lina hitaji Imani na uelewa wa hali ya juu.
Kuna vtu vya kufanya kuweza ku activate hyo power ni swala la kuamini na kujifunza tu.
Hii dunia inamambo mengi jaman Ila kuhani Noah nakupa kongore umajutahidi mzee...
Kweli mambo ni mengi muda mchache yaani nasoma kama picha kumbe haya mavitu yapo kweliHapa tunaenda sasa, source ya nguvu za kibwengo ni wichcraft . Wichcraft ina viwango tofauti vya power. Sasa basi Kibwengo ni nini ? Nataka hapa nichimbue source ya vibwengo. Mnivumilie maana nachanganya vitu vingi ila ndio inatakiwa ili mpate picha japo hizo ni mada tofautu
Eeeeeh! kweli mambo gambinaNjia rahisi, sehemu yoyote ile unaeza amua ikawa madhabau sio lazima nyumbani, zungumza katika hiyo madhabau toa maelekezo katika hiyo maelekeoz in good way.. mfano angalia katika jamii yako watu wanao pata shida flani . Then kupitia hiyo madhabahu amuru adui anafanya mafekeche awe exposed. Maana yake nini hapo unahamishi vita yako katika madhabau
Ningependa kujua naanda madhabahu na natoa sadaka ya mali lakini najijua mapungufu yangu labda ni mzinzi na nimeshindwa kuacha lakini nimepunguza spidi, vipi madhabahu inaweza kuwa na matokeo kweli ama ni kama kumdhihaki Mungu hii imekaaje tafadhali.Cha kwanza azimia ndani ya moyo wako kuacha vitu unavyopenda zaidi 😀😀. Kama una penda sex kuliko kila kitu acha hiyo , kama unapenda aina ya chakula pia acha hivyo vyakula, sio uache kula kabisa, ila unakula badhi ya vyakula ili usife, pia sex huwezi acha kabisa ila kama ulikuwa unapenda chapa mala kwa mala, acha uwe unapiga kwa manyato sana ila balance usilete tafrani kwenye ndoa.. yani mention vitu vyote unavyopenda sana, then nenda mbele ya madhabahu vikabizi mbele za Mungu, kwa ku mueleza azima yako ya kuviacha hivyo na kuwa kama sadaka mbele zake..
Kuna muda inanitokea nikivua shati ama tshirt vinyweleo vya tumboni na mikononi kusimama na kufuata movement ya nguo kama kuna nguvu Fulani hivi ya usumaku. Hii imekaaje mkuu?Ishara zake ,ni moja wapo unaeza ukawa umeweka pozi sehemu, unasikia kama mtu anashika kichwa chako ( anaweka some wisdom ), au unasiki kitu kama joto linalo ambatana na furaha sanaaaaa... kama upo mahala flani amazing, lakini pia kwa wanaume unaeza hisi sehemu zako za suri zimekaukaa au kakaamaaa sanaaaa, kwa wanawake huwa wanakuwa wet.. hii maana yake ni kwamba una intimacy na malaika wako .. sasa hapa pata vuruga watu, ila ukiona pame kuvuruga uliza swali.. lakini pia kuwashwa macho ila unakuwa na peace ndani yako.. na ushara zingine nyingi zikiwepo za msukumo wa ndani