Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Dah!Huu uzi una mixture nying aisee...
Kutoka Kwenye vimbwengo to natural power to mazabahu to Angel/malaika to Bible.... ahahaaa
Anyway,kuna mambo yapo vzur nimeyapenda na kukubaliana nayo na mengne kupingana nayo kulingana na Iman yngu na uelewa wangu.
Ukweli ni kwamba Mungu wa mbinguni husikia kila anaemuomba na humpa yule amtakae kwa muda wake,ila kuna sehemu na nyakati ukimuomba Mungu kitu Basi kuna possible kubwa ya kupata hcho kitu...pia kuna vtu ukivfanya kwa ajili ya Mungu (sadaka/Dhaka au kafara) kwa ajili ya unyenyekevu kwake na ukamuomba chochote ktk vtu vzur Basi kuna possibility kubwa ya kupewa hcho kitu.
Pili Malaika hawana power yoyote kwa binadamu kazi yao kubwa ni kuandka Yale matendo yako either mazur au mabaya...hawana uwezo wa kukuzuia wewe na ajali wala kukupatia pesa.
Ila ukweli ni kwamba sisi wanadamu tumeumbwa na power katk miili yetu na hyo power tunaweza tukai activate na kuitumia regarding to our believe...Kwenye watu Mia wawili wanaweza wakalitambua hili.
Mitume waliweza kua activate na kuitumia hyo power kulingana na Imani zao na ndomana wakawa na uwezo mkubwa wa kuamini (kumwamini Mungu) kiasi kwamba wakaweza adi kufanya miujiza Kama kutembea juu ya maji,kuipasua bahari,kupambana ktk vta mbalimbali n.k ambapo leo hii Mimi na wewe hatuwezi.
Mungu ametupa uhuru/nguvu ya kufanya chochote au kuwa vyovyote vile ndomana leo ukitaka kuwa malaya,mchamungu,tajiri,maskini au n.k ni wewe tu na Imani yako.
Ndomana ktk kitabu chetu waislamu.... Mwenyezi Mungu anatuambia hambadili mtu adi abadili Yale yaliyomo katka nafsi zao.
Na Wana psychology wanasema....a man become what he thinks about most of time..
Hili ni somo pana Sana na Lina hitaji Imani na uelewa wa hali ya juu.
Kuna vtu vya kufanya kuweza ku activate hyo power ni swala la kuamini na kujifunza tu.
Hii dunia inamambo mengi jaman Ila kuhani Noah nakupa kongore umajutahidi mzee...
Siamini kama Wewe ni Mwislamu, hakika kama Waislam wa huku ndani wangekua kama wewe, wangewavuta watu wengi kutaka kuujua Uislam......
Umeweka hoja zako bila mawaa na japo sijakubaliana na baadhi ya Hoja zako, ila nimekukubari kwa jinsi ulivyoshiriki mjadala bila Matusi, Kashfa kama ambavyo nimezoea kuona kwa Members wengine wa Kiislam wakichangia mijadala mbalimbali....
Wale wanaojifanya wanaijua Dini ya Kiislam wanatakiwa kujifunza kutokea kwako........
Kupitia comment yako, Nimeona wale Wanajiona ni Ma Ostaadh wa Jf kumbe ni Maandazi kabisa.