Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Hapana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vibwengo ni roho kaidi na vita zake mala nyingi huwa zina involve kupaa hadi ewani.
Hapana huwezi acha imani, na ndio maana nimekuambia uwe na madhabau, watu wengi sana wana fail maisha na kuonea kwasababu hawana madhabau, ila ukianza angalia enzi na enzi madhabah ndio ilikuwa kila kitu, lolote lilikuwa likitokea watu wana kimbilia kwenye alter. Sasa watu wamekalili kwamba madhabahu ni kanisani tu , hata nyumbani lazima uwe na alter, ila iwe under contro ya Mungu mkuu muumba wa mbingu na nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee kwenye kudeal na haya mambo siwezi jikuta nimeacha imani yangu na kuanza kupaa angani kimasihara
Hapa nakupa principle ya kuwa na madhabu ya na super wa hiyo madhabau anatakiwa awe Mungu mkuu, ili uwe na nguvu zidi ya hivo vibwengo, na nimekupa hint, angali watu kwenye jamii yako then kupitia hiyo madhabau amuru adui awe exposed maana yek madhabau itafanya hiyo kazi na kurudisha information na utaona mengi zaidi ya vibwengo na kama unakuwa na good uhusino na Mungu kupiti hiyo madhabau unaeza msihi Mungu a deal na huzo isse. Wengi hawapokei majibu ya maombi yao kwasababu hawana madhabahu, angalia enzi na enzi.. madhabau ilikuwa ni kila kitu na hadi leo hii..hili somo lingineAisee mimi inabidi niishie kusoma Articles zako sio kuingia in practical
Hapa nakupa principle ya kuwa na madhabu ya na super wa hiyo madhabau anatakiwa awe Mungu mkuu, ili uwe na nguvu zidi ya hivo vibwengo, na nimekupa hint, angali watu kwenye jamii yako then kupitia hiyo madhabau amuru adui awe exposed maana yek madhabau itafanya hiyo kazi na kurudisha information na utaona mengi zaidi ya vibwengo na kama unakuwa na good uhusino na Mungu kupiti hiyo madhabau unaeza msihi Mungu a deal na huzo isse. Wengi hawapokei majibu ya maombi yao kwasababu hawana madhabahu, angalia enzi na enzi.. madhabau ilikuwa ni kila kitu na hadi leo hii..hili somo lingine
Ndio maana yangu. Kwasabau Mungu Ndio mwanzo na mwisho. Nguvu zake hazieleki yani na hakuna ufalme au mamlaka inayo sogelea uwezo wako. Usifanye madhabau uka invite roho ovu huo ni ushirikana na ni hatari sana kwa kizazi chako, maana madhabau ina nguvu ya kufata kizazi hadi kizazi na hata kuharibu hatma za kizazimkuu hapa nakulewa. yani miwe na meeting point na Mungu mkuu
Ndio maana yangu. Kwasabau Mungu Ndio mwanzo na mwisho. Nguvu zake hazieleki yani na hakuna ufalme au mamlaka inayo sogelea uwezo wako. Usifanye madhabau uka invite roho ovu huo ni ushirikana na ni hatari sana kwa kizazi chako, maana madhabau ina nguvu ya kufata kizazi hadi kizazi na hata kuharibu hatma za kizazi
Vibwengo, majini, Mapepo wote ni team moja. Kwa kuwa ni roho, huweza kujibadilisha maumbo tofauti tofauti.Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukweli kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwanini kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu tuambiane
Hivi vitu vidogo sana, ningekuwa nauwezo wa ku type au kupenda kupost ma thread marefu, tungechambua module moja moja.. in and out na mda wa maswali na majibu .aiseee, una mambo mazito sana
Hivi vitu vidogo sana, ningekuwa nauwezo wa ku type au kupenda kupost ma thread marefu, tungechambua module moja moja.. in and out na mda wa maswali na majibu .
Huwa najifunza sana na ku invest sana mda kwenye elimu ya ulimwengu wa roho. Kwasabau ulimwengu wa roho ni superiol ya huu ulimwengu wa damu na nyama. Tukija pata mda unaeza point aina yoyote ya topics tuka ijadili kitu chochote ambacho ni interst kukijua then tukashusha nodno tunaweka na mda wa maswali na majibumkuu inabidi tuandae hii programu. inaonekana una mambo mengi sana
Mkuu nimekufuatilia vzr ,nimependa mada zako, andaa mada hata km ndefu wasomaji tupoHuwa najifunza sana na ku invest sana mda kwenye elimu ya ulimwengu wa roho. Kwasabau ulimwengu wa roho ni superiol ya huu ulimwengu wa damu na nyama. Tukija pata mda unaeza point aina yoyote ya topics tuka ijadili kitu chochote ambacho ni interst kukijua then tukashusha nodno tunaweka na mda wa maswali na majibu
Huwa najifunza sana na ku invest sana mda kwenye elimu ya ulimwengu wa roho. Kwasabau ulimwengu wa roho ni superiol ya huu ulimwengu wa damu na nyama. Tukija pata mda unaeza point aina yoyote ya topics tuka ijadili kitu chochote ambacho ni interst kukijua then tukashusha nodno tunaweka na mda wa maswali na majibu
Mkuu nimekufuatilia vzr ,nimependa mada zako, andaa mada hata km ndefu wasomaji tupo
Mfn napenda kuona mada ya kuandaa alter nyumbani
Sanainteresting
Na mambo yote yana operate from invisible to physicalEeeh hii itasaidia sana. maana naona kuna mambo mengi sana invisible
Mkuu we tupe elimu hy tujifunzeNa mambo yote yana operate from invisible to physical
MythsHabari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukweli kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe hasa huwa ni nini, na Kwanini kipindi hiki hawapatikani ni wamepotelea wapi, Mwenye uelewa na hili embu tuambiane
Nafikiri ya kuanda madhabu ni muhimu sana. Kwenye madhabu ndio kuna hatma ya mambo mengi, anzia kwa Isaka. Ibrahim mwenyewe. Nuhu baada ya gharika cha kwanza alipotoka akamjengea Mungu madhabau na akatoa sadaka, alipotoa tu Sadaka ya kuteketeza wanyama Mungu akasema nae kwa ahadi ya kuto angamiza dunia kwa mafuriko tena.. kwenye madhabu ni sehemu muhimu sana inayo weza kukufanya uwe weak au strongMkuu nimekufuatilia vzr ,nimependa mada zako, andaa mada hata km ndefu wasomaji tupo
Mfn napenda kuona mada ya kuandaa alter nyumbani