Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nazani ungeanza na jinsi ya kuandaa madhabahu ,na kuendeleza na masomo mengine.Ulimwengu wa roho unazingatia sana protocal. Kwanini watu huteseka na nguvu za giza au wachawi kuwatesa watu ? Unakuta lichawi usiku kucha lipo kwenye madhabau zao ( hii yenyewe tu ni sadaka ), na likifika eneo la sadaka linatoa sadaka yoyote inayotakiwa. Linaenda mloga mtu ambae 24 hours kulala tu , sadaka akitoa kubwa buku tena napo roho inamuuma kweli.. unadhanu uchawi huyo mtu utamkosa ? Ila kama wewe unatoa beyon ya huyo mchawi automatic ata fail, kanuni za kiroho zitagoma [emoji2][emoji2][emoji2]
Nacho sisitiza zaidi, toa sadaka kutokana na maelekezo ya Roho. ( sadaka haina kanuni maalumu - ukiweka kanuni kwenye sadaka ku fail panakuwa hakupo mbali na wewe ), nasisitiza unaeza toa sadaka nyingi harafu zikawa hazina impact pia. Sadaka yenye nguvu ni ile ambayo ina ufunuo na ina maeleko.Kuhani Noah
Unasisitiza sana kuhusu sadaka, tena kubwa kubwa na za kipekee! Basi, kwa rejea zako utaona walitoa mara moja tu.
Je, yampasa vipi mtu kutoa sadaka mara kwa mara?
Naanza soon, namalizia jibu haya maswali nianze, pia huwa napenda zaidi kuelekezana na mtu kwa mfumo wa maswali kwasababu sipo vizuri katika uandishiNazani ungeanza na jinsi ya kuandaa madhabahu ,na kuendeleza na masomo mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok endeleaTunaanza sasa: Tujue madhabahu ni nini , inafanyaje kazi, chanzo cha madhabau ( mualinzishi wa kwanza wa madhabau, aina ya madhabau , kunatakiwa kuwe na nini ili tuuite madhabu
Hii utaona hata kwenye sehemu za kiimani, unaiuta kuna mambo ya Mungu yanafundishwa lakini pia unakuta kuna aina flani ya dhambi na uovu flani wa hali juu.. maana yake hapo ujue kuna altars nyingine.. iliyopo awali imekuwa weak ja kupoteza uhali wa kufanya kazi. Maana shughuli zinzofanyika zinaweza fanya madhabau ikawa na ngvu au weaklakini pia unaeza kuta mtu unajenga madhabu juu ya madhabau, hii ni mbaya, maana yake madhabah yenye nguvu itatawala madhabah moja wapo