Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

Ulimwengu wa roho unazingatia sana protocal. Kwanini watu huteseka na nguvu za giza au wachawi kuwatesa watu ? Unakuta lichawi usiku kucha lipo kwenye madhabau zao ( hii yenyewe tu ni sadaka ), na likifika eneo la sadaka linatoa sadaka yoyote inayotakiwa. Linaenda mloga mtu ambae 24 hours kulala tu , sadaka akitoa kubwa buku tena napo roho inamuuma kweli.. unadhanu uchawi huyo mtu utamkosa ? Ila kama wewe unatoa beyon ya huyo mchawi automatic ata fail, kanuni za kiroho zitagoma [emoji2][emoji2][emoji2]
Nazani ungeanza na jinsi ya kuandaa madhabahu ,na kuendeleza na masomo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhani Noah
Unasisitiza sana kuhusu sadaka, tena kubwa kubwa na za kipekee! Basi, kwa rejea zako utaona walitoa mara moja tu.

Je, yampasa vipi mtu kutoa sadaka mara kwa mara?
Nacho sisitiza zaidi, toa sadaka kutokana na maelekezo ya Roho. ( sadaka haina kanuni maalumu - ukiweka kanuni kwenye sadaka ku fail panakuwa hakupo mbali na wewe ), nasisitiza unaeza toa sadaka nyingi harafu zikawa hazina impact pia. Sadaka yenye nguvu ni ile ambayo ina ufunuo na ina maeleko.

Sadaka za mala kwa mala ni nzuri ni kama Ayubu, utaona kutokana na sadaka za Ayubu huyu bwana alizungushia ulinzi wa hatari.. na Mungu. Lakini tunaeza sadaka ( maana sadaka zipo aina nyingi sana , inategemew unataka toa sadaka aina gani ), kuna sadaka hutolewa mala moja kwa mwaka, nyingine mala moja kwa miaka kadhaa, zingine kila siku .. Mfano mie binafsi hutoa sadaka kila siku, na kuna kipindi natoa sadaka kwa ajiri ya familia, kwa ajiri ya kazi zangu. Ila hii ya kila siku ni kwa ajiri ya ulinzi wangu na kumkumbusha Munhu ahadi zake katika maisha yangu. Si unajua sadaka inaongea lakini ni point ya exchange.. mniwe radhi mie sio muandishi mzuri wakuu, kuna kipindi unaeza kuta nachanganya vitu mnisamehe sana
 
Madhabau kwa lugha nyepesi sana, ni sehemu ambayo Uungu na binadamu hukutana, au shughuli za Uungu hufanyika ili kuleta matokea katika binadamu. Au ni sehemu ya kimawasiliano unao mpa mtu uwezo wa kufanya mabadirishano katika ya binadamu na Uungu
 
simple altar ni kama hizi personal za majumbani na inakuwa simple kutokana na mahitaji yake, na ndio maana inakuwepo mahala ambapo wewe upo. Sito zungumzia mobile altars kwanza
 
complex altars hizi ni alater zenye uhitaji mkubwa mzito sana, lakini ujenzi wa hizi altars huambana na utafutaji wa coordinate ( rohoni ) kujua exactly mahala ambapo kuna mlango ( spiritual portals ) iwe portal ya upande wa Mungu au portal ya upande wa giza ... wanalenga pale pale. Maana sio kila sehemu kuna spiritual alaters na ndio maana tunasema Mungu yupo kila sehemu , ila hatendi jambo sehemu yoyote .. utaona hata Musa alikuwa akiitwa mahala flani, na sio kwamba Mungu hakuweza au hakuwepo kila mahali.. sasa ile sehemu aliyokuwa akiitwa Musa ni mahala maalumu kuna portal pale na musa akaenda establish madhabau.. ile tunaita complex altars ni hatari hiyo yaani.. maana ni mahala uhakika kwamba kuna mlango ni wewe kwenda tu na haja zako
 
[SUB]kwenye kila madhabah ni lazima kuwe na controller, last dimension katika altars, then kunakuwa na mtoaji ( kuhani ) anae prisent hoja, alafu kuna kuwa na mpokeaji good malaika au evil angel, kipawa sitozungumzia sana kwa sasa hivi, alafu kunakuwa a mashahidi, wanao shuhudia tukio zima , hawa ndio huunda madhabau katika dimension[/SUB]
 
lakini pia unaeza kuta mtu unajenga madhabu juu ya madhabau, hii ni mbaya, maana yake madhabah yenye nguvu itatawala madhabah moja wapo
 
lakini pia unaeza kuta mtu unajenga madhabu juu ya madhabau, hii ni mbaya, maana yake madhabah yenye nguvu itatawala madhabah moja wapo
Hii utaona hata kwenye sehemu za kiimani, unaiuta kuna mambo ya Mungu yanafundishwa lakini pia unakuta kuna aina flani ya dhambi na uovu flani wa hali juu.. maana yake hapo ujue kuna altars nyingine.. iliyopo awali imekuwa weak ja kupoteza uhali wa kufanya kazi. Maana shughuli zinzofanyika zinaweza fanya madhabau ikawa na ngvu au weak
 
mfano madhabu ya Mungu, inahitaji hali ya usafi wa ndani na nje. Ili kuweza hata kuzivutia roho nzuri ( Malaika wa Kungu ) kufanya shughuli zao hapo, ila ikatokea mtu huyo akaanza mix mambo mala atie unajisi mahala hapo malaika huanza sepa mmoja mmoja hadi mwisho wa siku wana sepa wote na inabaki empty na hapo ndio ile mwovu anasiamisha yake na kuendelea na kazi zake huku yule wa kwanza akihisi bado ana Mungu kumbe bwana yule ndio kashika hatamu.. 😀😀😀
 
sasa niende shughuli zinazofanyia katikamadhabau, maana mambo ya kuandika ni mengi. Hapa nitarudi back kwa Adamu na Mungu. Ili iwe rahisi sana kupata picha ya activities zinazofanyika
 
Back
Top Bottom