Vice President(Ruto) home under attack.

Vice President(Ruto) home under attack.

Political sympathy at work. Kumbe hata huko Kenya kuna sarakasi nyingi
 
That's politik

Sent using Jamii Forums mobile app
nakwambiaje.... Wakenya hawashindwi kumvamia I have been there nawajua wakenya ni mafia hataree
Pia sio mauwaji yote ya wanasiasa serkali inahusika!!
Sjui ka unajua idadi ya wanasiasa walio uwawa had saiv kwe uchaguzi huu?

kenya sio tz brother
Sifikirii wala sioni kama ni mchezo istoshe nyumba yenyewe iko mashambani huko
what if walimshindwa kwe nyumba yake ya mjini na huko mashambani ndo ilkua only chance?
wamemkosa kidogo tuu kwan alkuepo

kenya sio bongo brother
anyway wapambane na hali zao!!!

try me
 
Duh! tutaweza uchaguzi kweli?
Chonde chonde wakenya! Huko mnakotaka kwenda sio njia salama!


Kwa vyovyote hile najua hilo ni tukio la kupangwa!


That's y I hate politicians! Wanawaza matumbo yao kwanza! wapuuzi kabisa
 
Lakini wavamizi ni wa kujitolea mhanga, kuna watu wanasema waliona Wasomali. Hivyo sioni kama ni mchezo wa kisiasa maana sidhani wale wa kutumwa kisiasa wangejitoa mhanga kihivyo.
 
Back
Top Bottom