Uchaguzi 2020 Vicensia Shule: Uamuzi ni wetu, Tuchague Utumwa au Haki

Uchaguzi 2020 Vicensia Shule: Uamuzi ni wetu, Tuchague Utumwa au Haki

Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
 
Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI [emoji1535][emoji1535][emoji1535]
Utumwa ni upi huo?

Mnajitahidi kujipeleka utumwani mkihadaa ndo ukombozi
 
Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI ✊🏿✊🏿✊🏿
Huyu jamaa akipita Ni North Korea ya Afrika mashariki.

Bora hata North Korea ina maendeleo sasa hii Shithole countri sijui itakuwaje.
 
Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na manado ya kiutumwa na kuwahusudi wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Hatutaki Magufuli aliyekwisha tuweka kwenye utumwa wakikoloni mweusi.
 
Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya tarehe 28 Oktoba kuchagua UTUMWA au HAKI ✊🏿✊🏿✊🏿
hatuwezi kumchagua wakala wa mabeberu
 
Hakuna msomi anayeweza kumpa kura Lissu. Kimbia haraka utoke huko brother. Usikubali kupoteza kura yako kama wewe ni msomi kweli.
 
Hakuna msomi anayeweza kumpa kura Lissu. Kimbia haraka utoke huko brother. Usikubali kupoteza kura yako kama wewe ni msomi kweli.
Heheheee wasomi wote wako kwa Lissu. Rejea matokea ya Twaweza. Maskini ma mafisadi ndio wafuasi wa ccm
 
Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Daaah lakini mbona hili sio jukwaa la jokes! au labda mie ndo nilikosea kwa kuamini kuwa hakuna kiumbe yeyote duniani including wanyama mwenye kufikiri hivyo
 
Hakuna msomi anayeweza kumpa kura Lissu. Kimbia haraka utoke huko brother. Usikubali kupoteza kura yako kama wewe ni msomi kweli.
Kiwango cha elimu kumchagua Rais ingekuwa digrii CCM ishatoka madarakani zamani. Angalia wafuasi wengi wa CCM wako maeneo gani. Ujinga ndiyo mtaji wao. Kuna mśomi anaweza kumsikiliza Polepole au Dr. Bashiru akiambiwa akahutubie UD anaweza kuongea ujinga anaongea kwenye mkusanyiko wa mbogamboga na watu wakaendelea kubaki ukumbini.
 
Watanzania hatutaki Lissu anayetaka kuturudisha kwenye utumwa wa kuwaabudu mabeberu. Anasema ndiyo wanatulisha!!! Aibu kweli kubaki na mawazo ya kiutumwa na kuwahusudu wazungu.Tumeamua kabuki huru na JPM wetu. Mpe kura zote JPM
Member since 29-09-2020

Pambana mkuu uokoe jahazi.

JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Back
Top Bottom